Hebu funguka zaidi tukuelewe. Naona km umekaa kiwizi wizi hiviKufichua uovu unapeleka taarifa kwa bosi wako sio unaropoka kwenye media
Dawasco ina msemaji na so TeresiaHebu funguka zaidi tukuelewe. Naona km umekaa kiwizi wizi hivi
In general, watumishi wa DAWASCO ni wapo wapo tu, wapo ki business as usually. Hata wao wenyewe wangeliona hilo bomba limepasuka wasingeliziba mpaka watumwe tena na mkubwa wao.Niliwah kuwajulisha Dawasco kuwa Kuna mteja anawaibia MAJI kwa miezi sita , huku akiwa na miradi mikubwa ya kutumia MAJI mengi, kilichotokea Dawasco wakaenda wakapiga pesa ndani ya Sikh mbili wakamfungia Mita akawa mteja halali. Wakati mwingine hakuna haja ya kufuatilia sana mambo ya watu , ni vyema kuangalia ugali wa watoto wetu.
Sina uhakika, nadhani watumishi wameanza kunyooshwaHuyo Luhemeja ana tuhuma lukuki ikiwemo udhalilishaji wa kijinsia wa watumishi kadhaa wa kike wa shirika.
Luhemeja yupo makini sana, ila watumishi wake ni vilaza sana na wavivu mnoKama ni kweli basi hata huyo Luhemeja hayuko Salama ataondoka, tuwe watazamaji ni suala la muda tu
Huyo Teresia naye anatoka huko hukoMukulu hafukuzi wezi anaotoka nao sehemu moja pole zake Teresia fitna kwanza haki akhera
Mkuu nisaidie yafuatayo:-
Kumbe mkuu na wewe ni mpigaji au majungu?...hebu njoo utujuze.
Kwa kazi yake kama meneja hili lilikuwa ni jukumu lake la msingi. angekuwa wa ajabu sana kama asingechukua hatua kama hizi. Mimi naamini teresia atakuwa kasimamishwa kwa suala lingine ila si wizi ws strabagHayo ni maungio ya maji yanayoibiwa aliyoyagundua teresia na kuyakomesha akiwa magomeni. Hapa ni manzese.