Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.

Kama makaburu hawakuweza kumzuwia Mandela sembuse hao wababaishaji wa TISS?

Mnalipwa kiasi gani kusaliti watu wanaopigania ukombozi wa taifa lenu?
 

I was speaking for myself, rudi kusoma post yangu. Wewe hiyo "most of us " unasema kwa mujibu gani? "Us" ndio nani? Ulifanya uchunguzi kuona watanzania wangapi wanataka kuujua ukweli? Acheni mahakama yafanye kazi na kama hamna imani na mahakama basi iteni expert from USA. But ukweli lazima ujulikane!
 
nakumbuka yule shoga hugo chavez alisema yuko na seasons nyingi sana kama prison break, hii ni season 2, hii wameipeleka polisi sijui kwa staili gani?

michango yako inaonyesha kweli wewe ni mjinga mzuri sana, nlidhani umeonewa kumbe ni haki yako...
 
Ruka juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!! Ndo raha ya chura pale unapompiga teke....
 
Wamemlimboka Kibanda ili wapitishe habari zao zisizohaririwa.
 
mtahangaika sana maana M4C na sera ya Majimbo imewakamata pabaya!!! Tumikieni wananchi acheni hizi propaganda za miaka ya kale wakati wakoloni walipotaka kuitawala Africa.
 
Hivi Horace Kolimba alifariki vipi vile??
 
mwigulu acha uchochezi tuambie tembo na twiga wetu mta wa linda vipi sio vinginevyo au mnazani tume sahau:lying::bounce::A S angel::rockon::rockon::rockon::rockon:
 

Mkuu dini ya CCM hiyo hujui
 
1. KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
2. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
4. Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
5. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
6. Tuongoe njia iliyo nyooka,
7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
 
Nyie wanachama wa chadema ni kama sikio la kufa! yani ma ushahidi kibao lakini hamkubali! Chama chenu MAGAIDIIII!

unakurupuka tu mkuu, soma vizuri nilicho-comment. ndio maana Tanzania bado ni Maskini mpaka leo, maana kama mtu unafahamu kutumia computer, internet na unajua ku-comment humu halafu bado unaiacha akili yako iwe stagnant hivo n brain washed with gutter politics, then we deserve to be poor!
So sorry for you mkuu! in short sishabikii vyama bt i am looking on reality! that's it kaka!
 
Najiuliza hivi, CHADEMA ni wajinga kiasi hiki mpaka wanaweka ushahidi peupe kirahisi hivi?? Ni kweli hawana akili wajianike hivi?? Sijui najiuliza tu!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…