[/COLOR]
Kwa hiyo 2015 CCM akigombea mkristo wakristo wote muterudi CCM?Kwa hiyo hamuipingi CCM bali munampinga Raisi Muislamu anayeongoza CCM?
Asanteni kwa kutufumbua macho
Ahaaa!! kumbe!!!!... HILI NALO NENO!!!!!! wewe usiye na chama wala DINI tayari umepata DINI na chama cha KUKIFUATA?!!!!
ya limboka tumeyajadili sana hapa yamechuja, usitutoe kwenye mada.
mkuu naona umeishiwa hoja umejuaje kama ana mme ? au kwa sababu ni kautamaduni kenu kule lumumba ? kama ni hivyo kaishie lumumba siyo jf au mmeshazoea mkalifanya kuwa kimbilio lenu vikaoni ? tujadili hoja mezani mambo ya chamber waachie wanachamber wenyewe.:high5:acha kutukana tunaongea mambo ya msingi kama huna cha kuchangia nenda ndani na mumeo mkalale.
Mimi ni mkristo nazungumzia ukristo na serikali!!!... SHEHE ILUNGA ANALINDWA NA NANI?!!!
TAYADI NI MWANACHAMA MDINI...tumuogope
watanzania hatutaki ugaidi... tuwapinge na kuwalaani wote wanaofanya matendo ya kigaidi awe mwanasiasa awe awaye, maisha yetu ni muhimu kuliko kitu kingine chochote
wewe ni mdini sana, post zako zote humu zinakupambanua hivyo, huna hoja wala mchango unaojenga umeishia kuhamasisha chki za kidini, huku ni kuonyesha wazi kuwa umeshindwa kujenga hoja
Huu umbea tu. Mbona zenyewe hazikuwekwa youtube???
Nayo ni tafsiri nzuri tu!!!.. Mimi utafiti wangu humu mtandaoni nimeona wewe na wenzako mko kidini zaidi kuliko ki CCM!!!...
Sipandi chuki za kidini ila nasema kutenda haki ni muhimu!!!!... Shehe ILUNGA AKAMATWE!!!
Sipandi chuki za kidini ila nasema kutenda haki ni muhimu!!!!... Shehe ILUNGA AKAMATWE!!!
Ilunga akamatwe aunganishwe na Lwakatare,Mahita na Mkapa
mchemba is digging his own "hole