Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

JF sasa inatumika kulifanyia promo Gazeti la Mtanzania baada ya kukosa wasomaji, na tunasema hatulinunui ng'o.
 
tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?

Kaka ulitaka nichambue gazeti au habari wewe uliyopost hapa? Hebu rudia wewe kuisoma habari yako paragraph ya mwisho,unaelewa nini?mie sishabikii CCM yako wala Chadema, bt I don't want to be confused na propoganda zenu!nataka ukweli na kitu kinachoeleweka!
 
Kikosi kazi cha interejinsia kipo mzigoni.
 


Mkuu hilo jina lenye rangi nyekindu naomba ufafanuzi,ina maana naibu katibu mkuu wa CDM ni pandikizi la Chama Magamba?
 


Umma gani? Wengine tupo curious kujua ukweli na undani wa haya mambo. Speak for you!


Chadema mtajuta suala la Rwakatare lazima liwaumbue.

Habari ndiyo hii:
Ikulu ni mahali patakatifu - Vema!!!.. Je, Ni nani aliyeiba TWIGA na WANYAMA wengine na kuwauza UARABUNI?!!! Aliyemuua Mwangosi alitimiza maagizo ya nani?!!!...
Ulimboka aliteswa kwa maagizo ya nani?!!!...
Mwakyembe aliwekewa sumu na nani?!!!...
Kibanda aliteswa na nanii?
Biashara ya kuua na kuuza pembe za ndovu uchina na nchi nyingine za mashariki ya mbali ni za nani?!!!!

SHEHE ILUNGA ANALINDWA NA NANI ASIKAMATWE?!!!!!!!

Mwigulu wewe na Nape na Riz One mmenukuliwa sehemu mbali mbali kusema CUF ya WAISLAMU na CHADEMA ya wakristo, Je, CCM ni ya nani?!!! CCM ina watu wa DINI gani?!!!

Kwa Uchunguzi wangu propaganda Zenu nyie zimelipasua taifa na kupandikiza UDINI na UKABILA!!!... Ushahidi mdogo tu!!! Hawa watu niliowakoti pamoja nawe jiulize ni dini gani, na tena wapo sisiemu kwa mapenzi ya kweli au akimaliza muda mtu wao na wao watasepa?!!!
 
tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?

(video nyingine zimekabidhiwa huku zikionyesha makada wa chama hicho wakiwa katika vikao vya siri.

Video hizo zinawaonyesha watu wengine ambao hawajafahamika wakiwa katika mikakati hiyo ambao wamerekodiwa bila wao kujijua...)

Hayo maneno niliyoweka kwa mabano ndo siyaelewi!maana kama hawafahamiki ninyi mmejuaje ni wanachadema?hivi wewe kama hunijui mimi ni nan,ukiniona kwenye mkutano wa chadema uta-conclude mie ni chadema?kama nimeenda kusikiliza sera zao je? Au wataka kukataa hakuna wanaCCM ambao huwa wanahudhuria mikutano ya chadema?je nao tuwaite makada wa chadema?
Kaka habari yako ina upungufu mkubwa sana wa 'reality' trust me its fabricated news hiyo!
 


Kwa hiyo 2015 CCM akigombea mkristo wakristo wote muterudi CCM?Kwa hiyo hamuipingi CCM bali munampinga Raisi Muislamu anayeongoza CCM?

Asanteni kwa kutufumbua macho
 
Nguvukazi, nafikiri hunifahamu nami sikufahamu hivyo si busara kunitusi kwa kuniita mjinga, labda nikuulize unaijua kazi ninayo ifanya? je ni kweli nashinda mtandaoni kama inavyoshinda comment yako humu mtandaoni? acha matusi behave basi hata kidogo! me nakushauri ufute kauli yako maana watu kama ninyi ndio mnaoipaka matope CDM kwa kauli zenu za hasira za kupindukia bila kutumia weledi badilika ndugu yangu tusitukanane.
 

Kwa mujibu wa CD alizorekodiwa Mwigulu, Nape na Riz one katika majukwaa ya kisiasa na mikutano ya ndani (ambazo muda wowote tutaziposti humu mtandaoni), CUF ni chama cha waislamu na wapemba na CDM ni chama cha wakristo...

Sasa SWALI JE? CCM ni chama cha dini gani? -- Wapagani?

Hivyo wana CCM waliojaa humu mtandaoni jiulize wanatoka DINI gani utapata jibu!!!.. Kazi yao ni kuhakikisha wanatoa sapoti kwa lolote lile kuitetea CCM kwakuwa "mtu wao yuko juu!"
 
Time will tell
Chadema ni time bomb itakayolipuka wakati wowote kuanzia sasa
 
Very stupid!! ... yaani unaweza kutapika.
I'm Lutheran by birth, but atheist by choice.
 
mchemba is digging his own "hole"he is entangled into almost every situation relating to kidnapping, killings and torture za kisiasa
The Dude has so many sins' in fact he is animal it's better to be boko haramu than to be mwigulu he is silence killer
 

Bashe baada ya kunusurika kutekwa anatafuta huruma ya nyinyiemu, ajue hayajaisha, kwanza gazeti mmiliki wake sio msafi hatutarajii kauli safi itoke kwake, asubiri hukumu yake. kwan yy uraia amepewa lini/amerudishiwa ln
 
siasa za ccm nikutuvuruga wameshaona wamechokwa sasa wanaanza kutengeneza mambo yatakayofanya watu tukichukie chadema kuwaaminisha wa tz kua chadema hakifai.kama walivyofanya kwa mapadri na waislam na huku pia ni hayohayo.watanzania tuspoyaangalia haya kwa jicho la pili hatuko mbali kupigana mapanga sisi kwa sisi
 

Kwa hiyo unahamisisha waislamu wote wahamie CCM na Wakristo wote wahamie CDM,na ikifika 2015 CCM akigombea Mkristo Wakristo wote warudi CCM na waislamu wote wahamie CUF?
 
Mods i hope hamtacheza na majibu yangu kwa huyu bwana

Video zitamuumbua mwenyekiti wa CCM na Katibu mkuu manake watadhihirisha walivyotafuta uraisi miaka kumi kwa kuwanyanysa na kuwatesa baadhi ya watu kwa mtandao na kuwachafua magazetini ndivyo walivyo sasa hivi tunadhihirsha tuu rejea kauli ya sumaye hawa wanaoingia madarakani kwa njia ya kutumia kalamu kuchafuwa wenzao wakipata madaraka wataua watu wengi kubaki madarakani utabiri wa Sumaye umetimia CCM kupitia mwigulu Nape ,Ridhiwani wanataka kun,ang,ana kubaki madarakani wapeleke video zote mahakamani wao ndio watasema
 
Nchi hii Bahna kila mtu anjifanya mzalendo?mara video mara huyu kapinga hii video imetengenezwa na magamba.

Munatuchezea akili watanzania,chezeni mapicha yenu ya Rambo mwisho mutakosa wote kutawala hii nchi,munaacha kufanya siasa za kistaarabu munafanya siasa za maji taka,vita vitawanyosha wote nyinyi wachumia matumbo wakubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…