Na afadhali hata wajenzi wangekuwa wachina wangejaribu kuweka mataa ya kuwaka waka kama ya daraja la kigamboni ili iwe DANGANYA TOTO lakini WAJAPAN wamejenga DARAJA MCHOKO labda kwa kuwa ni la MSAADA afadhali hata UBUNGO ndio tungesema kuna FLYOVERLile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Ha ha ha umepanic mkuu, Hamna kitu. Zindueni hayo matuta yenu kimyakimya sio kila hotuba. Tuta la tazara tumejenga sijui nini nini kujisifu kusikoisha. Haya hilo la kwanza tu mkiendelea kujisifu tutawaumbua tu hamna namna.Nenda Kaishi huko.
Hamia Maputo mkuu.Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Vibaraka mtajitaja tu yetu macho.Hilo ni kama la kigamboni! Hongera zao!
.....Jamani hebu mpeni break jiwe!! Nyie ndo mnaharibu maana akiona hii habari kesho atakurupuka kuanzisha hiyo project pale baharini ili tu awa prove wrong bila kujali kipaumbele cha nchi kwa wakati huo ni kipi!!
Jiwe anafanya kazi kwa panic mwacheni atulize kichwa mtamuumiza na hizi habari!
Tzr flyover msaada kutoka JpTanzania haijakopa kujenga flyover ya TAZARA bali ni msaada wa kutoka Korea Kusini.
Na ni haohao wakorea wametoa tena msaada wa kujenga daraja la Salender.
Muwe mnafuatilia vzuri, tazara na salendar ni mikopo ya riba nafuu.Tzr flyover msaada kutoka Jp
New Selander bridge msaada kutoka Korea
Weka hapa hizo taarifa kuwa tzr ni mkopo.Muwe mnafuatilia vzuri, tazara na salendar ni mikopo ya riba nafuu.
Sibishani kwa kitu ambacho kiko waziWeka hapa hizo taarifa kuwa tzr ni mkopo.
Hamna anaekubishia, umesema ni mkopo thibitisha.Sibishani kwa kitu ambacho kiko wazi
Daraja la kigamboni linakatisha wapi?
Au kuwa chadema lazima uwe fyatu wa akili ?
Sifa kubwa na ya kwanza kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu.Daraja la kigamboni linakatisha wapi?
Au kuwa chadema lazima uwe fyatu wa akili ?
Tazara ni msaada kutoka Japan, GoT imetoa less than 30%. Salenda ndiyo mkopo ila siyo kwa 100%.Muwe mnafuatilia vzuri, tazara na salendar ni mikopo ya riba nafuu.
Unadhani msaada ni bure?Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Japan na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.