Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Kila nchi na vipaumbele vyake, Sasa humu ndani kwa kuwa tuna ndumila kuwili wengi na vipofu wasio ona mema ya nchi yao.

Tuna Super Flyover inajengwa Ubungo ambayo sio tu kufungua folen bali itabadili muonekano wa jiji.

Kuna daraja la Serander linalojengwa na Mkorea baharin ni balaaa pia litaongeza mvuto na kupunguza gharama za kupoteza muda ungalipo barabarani.

Sijui wabongo mfanyiwe nini ndo mridhike.
 
Jaman
Jamani, hata kama hamuipendi Tanzania kwa vile inaongozwa na JPM, ni vyema mkasoma taarifa zinazotolewa na vyombo vya nje kwa makini. Hilo daraja linalalamilkiwa na wananchi kwa ufisadi mkubwa uliofanywa na nchi ya China na pia wananchi wanatakiwa kulipia dola 3 sawa na Tshs.6,500 kuvuka upitia daraja hilo. Je, wapi Tz tunatozwa fedha kuvuka daraja ambalo halitumii mafuta? Nchi hiyo pia inakabiliwa na deni kubwa la dola 2bilioni na china,na kia inadaiwa malimbikizo ya dola 700 milioni, jambo ambalo linaweza ikajikuta inakuwa kama nchi ya Zambia ambayo inaendeshwa na China baada ya kushindwa kulipa mikopo kutoka China. Tuache kushabikia mambo bila kusoma kwa undani taarifa zinazoandikwa kwa lugha ya kingereza. Msumbiji iko katika wakati mgumu sana baada ya kuwakabidhi miladi yote ya ujenzi wachina. Tusubiri, iko siku mtakuja kukumbuka kuwa, Tz inapiga hatua za kimaendeleo chini ya uongozi wa JPM.
 
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC

New bridge spans Mozambique capital

Kuna Watu huwa najiuliza Mliumbwa wakati Mwenyezi Mungu ameishiwa ' akili ' za kuwapa Wanadamu au hamkuumbwa na Yeye? Hivi Mtu mwenye akili sawasawa anaweza akafananisha Daraja linalopita barabarani ( Flyover ya TAZARA / MFUGALE Flyover ) na Daraja la Nyerere linalokatika Baharini kuelekea Kigamboni? Halafu inaingiaje ' akilini ' kama kweli Wewe ni Mtanzania wa kweli ukawa bila ' aibu ' unakejeli ' Maendeleo ' ya nchini Kwako kwa gharama ya Kuipendelea na Kuisifia nchi nyingine?
 
Kuifananisha Dar na Maputo si haki kabisa..Maputo hata kabla ya hilo Daraja ilikuwa imeiacha mbali sana Dar. Tatizo kubwa la Wabongo wengi ni Exposure.
 
hana lolote kazi kupinga kila kitu
 
Sasa ukiingia Luanda Angola ndio utabaki Mdomo wazi maana Hutaweza kiamini kama jamaa wamepigana vita zaidi ya Miaka Kumi na Tano mfululizo...Jiji limejengeka hatari!
 
Hao wenzetu wanadaiwa Billions na China ila unaweza kujustify sababu vitu vinaonekana sisi hapa na Zambia sijui Sudan ya kusini pesa zote za wachina zinaishia mifukoni mwa watu!
 
 
Claro que, A ponte de Moçambique é mais boa que a ponte da Tanzânia. Está certo.
 
Msumbiji hata hivyo wamechelewa kujenga hilo Daraja maana ilikua wanazunguka sana kama Massa sita kuitafuta Durban kutoka Maputo kwa kupitia hilo Daraja watatumia saa moja na nusu hapo Katembe na KwaZulu Natal sio mbali...mazingira yanawalazimu kujenga Daraja sio starehe hiyo hata wakikopa hilo Daraja litawasaidia sana maana magari mengi ya mizigo yatapita hapo na wameweka toll maana magari mengi yanatoka SA kupeleka Cargo Msumbiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…