Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Anajifanya kichaa kwenye vitu ambavyo vinahitaji elimu ya Uchumi na sio majeshi na polisiEndelea na ngonjera za kujifanya hamdaiwi thubutuuu mnamideni mpaka uvunguni na Hanna cha maana kilichofanyika zaidi ya kujifanya ukichaa wa kununua korosho
Wewe nawe eti una ubongo!Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Korea Kusini na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.
Naona unajivunia nchi kuwa omba omba
Wewe nawe eti una ubongo!
Vijana wote wa Lumumba wameshapata ukichaa kama boss waoWewe nawe eti una ubongo!
Wewe sio machine ni kichaa kama boss wenuWho knows!
Unaweza kuwa waongea na mashine ati!
Boss wao ndo yupi huyo,Mbowe au Jpm!?Vijana wote wa Lumumba wameshapata ukichaa kama boss wao
Wewe sio machine ni kichaa kama boss wenu
Ndio utajua mwenyewe kati ya Mbowe na huyo mwingine nani alijiita kichaaBoss wao ndo yupi huyo,Mbowe au Jpm!?
Mkataa kwao mtumwa walahi
Lakini wewe na kizazi chako ni watumwa wa milele walahi
Aliyechanganyikiwa ni huyo aliyeshinda kwenye jua akizindua tuta huku mkimshangiliaWewe umechanganyikiwa, wallahi!
Kwasabau unaacha kuongeza juu ya hiyo mada hapo juu wewe waenda kwingine kabisa, kwenye kurusha maneno ya kebehi.
Wewe endelea kushabikia matuta ya Tazara hapo ili usiwe mtumwa na kizazi chako. Na keshe mwende mkasombelee ngorosho kule mbekenyela.
Kwani ni mashindano?Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Aliyechanganyikiwa ni huyo aliyeshinda kwenye jua akizindua tuta huku mkimshangilia
Tulia wewe mammalia kwani jiwe mpaka sasa hivi ameshakopa kiasi gani kununulia wabungeMsumbiji ina deni la nje kiasi gani?
Aha!Daraja refu zaidi Afrika wewe unazumgumzia kigambonino
Aliyechanganyikiwa ni huyo aliyeshinda kwenye jua akizindua tuta huku mkimshangilia
Nilijue la kazi gani wakati Flyover zinaonekana? nyie mnakopa nusu mnajengea tuta nusu iliyobakia mnanunulia wabunge na madiwani huo si ukichaaUnafahamu deni la Msumbjiji?
Ubongo wako ni wa mbuniNdio utajua mwenyewe kati ya Mbowe na huyo mwingine nani alijiita kichaa
Nilijue la kazi gani wakati Flyover zinaonekana? nyie mnakopa nusu mnajengea tuta nusu iliyobakia mnanunulia wabunge na madiwani huo si ukichaa