Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 955
- 867
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Wakati jiwe akizindua tuta hapo Tazara wanaume wanazindua miflyover ya ukweliKushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Endelea na ngonjera za kujifanya hamdaiwi thubutuuu mnamideni mpaka uvunguni na Hanna cha maana kilichofanyika zaidi ya kujifanya ukichaa wa kununua koroshoSoma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Korea Kusini na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo ya akili.
Endelea na ngonjera za kujifanya hamdaiwi thubutuuu mnamideni mpaka uvunguni na Hanna cha maana kilichofanyika zaidi ya kujifanya ukichaa wa kununua korosho
Daraja refu zaidi Afrika wewe unazumgumzia kigamboninoHilo ni kama la kigamboni! Hongera zao!
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Naona unajivunia nchi kuwa omba ombaSoma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Korea Kusini na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.
Daaaah wabongo mna maneno makaliLile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini