Mi sioni kama ni mapungufu ukizingatia kuwa show ameandaa yeye na kampuni yake na hajaandaliwa na waliberali. Huwezi kujua kuwa una mashabiki wengi kiasi gani hadi baada ya kupitia kipimo kama cha jana. The show ya miaka 14 ya Jide ifanyikie kwenye eneo kubwa zaidi kwa vile tayari anajua kipimo cha mafans alionao...
Pia kumbuka kuwa Mkwanja wote biDada kavuta kwa raha zake, wale wenye choyo walitaka kumkwamisha Komando asiipate ile hela, wabongo kweli nuksi.
kweli jide ni komandoo coz ni mwanamuzik pekee hapa bongo aliyeweza kuandaa shoo kubwa kama ile licha ya kupigwa vita na brauz fm!!
Kweli huyu dada ni hatari..
By Ulukolokwitanga

Mi sioni kama ni mapungufu ukizingatia kuwa show ameandaa yeye na kampuni yake na hajaandaliwa na waliberali. Huwezi kujua kuwa una mashabiki wengi kiasi gani hadi baada ya kupitia kipimo kama cha jana. The show ya miaka 14 ya Jide ifanyikie kwenye eneo kubwa zaidi kwa vile tayari anajua kipimo cha mafans alionao...

Pia kumbuka kuwa Mkwanja wote biDada kavuta kwa raha zake, wale wenye choyo walitaka kumkwamisha Komando asiipate ile hela, wabongo kweli nuksi.

haki ya nani,,,waswahili tuna maneno nabak nacheka tu
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa sana,watu walijaa ndani mpaka wengine ikabidi wasimame parking ya nje,kitu ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika ni ufinyu wa eneo hilo,kwani mashabiki walikuwa wengi sana,pengine jide hakutegemea kupata watu wengi kiasi kile,ila ilimpasa kutambua yeye ni mwanamuziki mkubwa sana apa bongo,na wadau wanatambua mchango wake,ndo maana jana walijitokeza wengi kumsuport,ila mda mwingine ajipange,kama akifanya show kubwa kama ile ya jana,basi atafute eneo la kutosha ili mashabiki tujimwagr vizuri,ila all in all show ilikuwa kali sana,na ujio wa watu wengi ni ishara ya kukubarika kwa mwanadada huyo,pongezi kwa kutimiza miaka 13
Sasa kama mnadai show ilibamba na kwamba eti kuna watu wanamzibia riziki huyo dada, kwanza, iweje show ibambe kama hayo maneno ya kuzibiwa riziki ni ya kweli, na pili, hivi kweli mnadhani bila yeye kuanzisha bifu kwenye social media angepata idadi hiyo ya watu aliyoipata?
Hapo wenye akili watakuwa walistuka kitambo kuwa hiyo bifu ni ilikuwa ni janja tu ya kuvutia biashara yake maana hoja ya kwamba eti anazibiwa riziki haina mashiko hata kidogo.
haha haaaaa bwan chu...umekua mpoleeeeeeee zchezea jide wewe.sasa mjifunza.
Sasa kama mnadai show ilibamba na kwamba eti kuna watu wanamzibia riziki huyo dada, kwanza, iweje show ibambe kama hayo maneno ya kuzibiwa riziki ni ya kweli, na pili, hivi kweli mnadhani bila yeye kuanzisha bifu kwenye social media angepata idadi hiyo ya watu
aliyoipata?
Hapo wenye akili watakuwa walistuka kitambo kuwa hiyo bifu ni ilikuwa ni janja tu ya kuvutia biashara yake maana hoja ya kwamba eti anazibiwa riziki haina mashiko hata kidogo.
Na hii hoja yako ndo ina mashikooo?
Hoja nyepesi sana unayoitolea povu hapa eti bifu limemsaidia, hebu na msanii mwingine aanzishe bifu na media halafu atangaze shoo tuone.
Na tuzo za miaka yote kwa jide ni kutangaza bifu?
Kifanyikacho gizani huanikwa nuruni. Wanafiki wameumbuka na mipango yao yote ya ufichoni a.k.a. Gizani
Wajinga ndiyo waliwao! Huyo binti kabuni bifu na Clouds ili kujitengenezea biashara.
Lakini kwa vile mmeghubikwa na chuki basi hilo hamuwezi kuliona kabisa.
Hivi kwa akili zenu gumba mnadhani angebuni bifu na Times FM au hata Radio One angeweza kupata publicity aliyoipata?
Achakupotosha wewe.
Wazo lako ni zuri sana na tunashukuru kwa mchango wako next time tutalifanyia kazi!Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa sana,watu walijaa ndani mpaka wengine ikabidi wasimame parking ya nje,kitu ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika ni ufinyu wa eneo hilo,kwani mashabiki walikuwa wengi sana,pengine jide hakutegemea kupata watu wengi kiasi kile,ila ilimpasa kutambua yeye ni mwanamuziki mkubwa sana apa bongo,na wadau wanatambua mchango wake,ndo maana jana walijitokeza wengi kumsuport,ila mda mwingine ajipange,kama akifanya show kubwa kama ile ya jana,basi atafute eneo la kutosha ili mashabiki tujimwagr vizuri,ila all in all show ilikuwa kali sana,na ujio wa watu wengi ni ishara ya kukubarika kwa mwanadada huyo,pongezi kwa kutimiza miaka 13