kalukamise
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 683
- 189
yes hasimamii kile anachokiamini..........uongozi wowote kwanza unakuwa na vision halafu unaisuport kwa mission kabambe..
aliingia kwenye urais bila vission wala mission.
Hili ni pungufu kubwa sana hata katika maisha ya mtu mmoja mmoja.
Katika ngazi ya uraisi ni balaa zaidi.
Cha kumsaidia, walio karibu naye wampe vission japo ya muda huu mchache uliobaki.
Bora achegue hata sekta moja aiendeleze japo akitoka tumkumbuke kwa hilo.
Sasa hivi tutamkumbuka sikui kwa kitu gani labda safari za nje.
Sikubaliani na wewe kwamba watendani wamemwangusha. He did not show the way. he is AN executive presIdent na kila kitu kinamtegemea YEYE kuonyesha njia. Mbaya zaidi, institutions ambazo zinge sprear head maendeleo zime cease na zinahitaji start kick kila wakati.Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
Kazou, kwenye hili la JK kuwa ni msikivu sana na kusikiliza mpaka umbeya na majungu, naomba nimtetee!. Angesikiliza mpaka umbea na majungu, saa hizi angeshasikia watu kibao wana...a debe!. Hata jf ingeshafingwa zamani!.aliingia ikulu na marafiki wengi nakuacha urafiki uendeleee,raisi ni msikivu sana anasikiliza sana mpaka umbea,majungu.
Sina lengo la kuchakachuwa hii thread, ila naogopa nikimtaja tu Lowasa kwamba awajibishwe na ndiye anayesababisha JK aonekane legelege basi hapo Pasco mishipa yote itamsimama kuanza utetezi wakati hii thread ametaka tuseme udhaifu wa JK.Duh, sasa MMU na Chit Chat nako tumwage mapweint.
Afu, bye bwana naogopa kuchakachua hapa. Hii ina maslah kwa taifa, kwa uchakachuzi njoo kule kwetu.
Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
Kazou, kwenye hili la JK kuwa ni msikivu sana na kusikiliza mpaka umbeya na majungu, naomba nimtetee!. Angesikiliza mpaka umbea na majungu, saa hizi angeshasikia watu kibao wana...a debe!. Hata jf ingeshafingwa zamani!.
Kati ya madhaifu ya JK ni mapuuza!. Naamini kabisa kuna vitu anaambiwa afanye kwa maslahi ya taifa, anasikiliza tuu na hafanyi!. Naamini baada ya ule mgomo wa kwanza, baada ya kamati ya bunge kurudisha majibu, walitoa mapendekezo fulani na kumpigia JK usiku huo huo na kumwambia!. Alisikiliza and he did nothing!. Pinda baada ya kuwatimua Mama Nyoni na Dr. Mtasiwa, alimshauri JK kuwatimua watu fulani, JK did nothing!. Kiukweli JK sio msikivu kabisa!.
Kwa vile msingi wa thread hii ni constructive criticisim. JK lazima sio tuu awe msikivu zaidi bali pia awe mtekelezaji promptly baadhi anayotasikia!.
Tuchukue fursa hii kwa kuwa msikivu kwenye baadhi ya mambo kikiwemo kilio cha katiba mpya na kuwakaribisha wapinzani Ikulu kuwasikiliza na kutekeleza ushauri wao!.
Pia tumpongeze kwa kutosikiliza majungu pale ikulu, kwa nature ya watu wa ukanda Pwani. majungu ni jadi yao!. Tunamshukuru JK anatoka ukanda huo na wapika majungu wamefunga breki!.
Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
1, hasimamii kile anachokisema (kwa ufupi ni muongo)
2, ni mtu kigeugeu
3, anajifanya msikivu sana kumbe mnafiki.
4, ni mdini mkubwa.
5. hajui ni kwanini yupo ikulu na wala hajui majukumu ya mtu anayefika ikulu ni yapi. (anafikiri ikulu ni dangulo au soko la maharamia)
hizi sentensi huwa zinasemwa sana na majuha wa CCMMkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
1, hasimamii kile anachokisema (kwa ufupi ni muongo)
2, ni mtu kigeugeu
3, anajifanya msikivu sana kumbe mnafiki.
4, ni mdini mkubwa.
5. hajui ni kwanini yupo ikulu na wala hajui majukumu ya mtu anayefika ikulu ni yapi. (anafikiri ikulu ni dangulo au soko la maharamia)
hizi sentensi huwa zinasemwa sana na majuha wa CCM
Juzi mnyika kasema hivi hivi
leo ww unasema hivi hivi
kesho sijui nani atasema
You are dead wrong my dear pasco........all i can say no is think again and you have a room to correct that view!