Mapungufu na mazuri ya bloggers na web zetu tanzania

Kuna watu, ashirika au blog wanatumia nguvu nyingi sana kutegeza website nzuri lakini wanasahau factors nyingine.

Vile vile kuna watu tovuti au blg zao haivutii kimuonekano lakini zina contents amabazo zinavutia na za kipekee

Specfic Observation

I. U Turn Blog

Nadhani ni blog inayopeedwa sana na kundi fulani la watu hasa wa kike. nadhani katia blog zenye trafic kubwa ndani ya Tanzania hii u-turn imo.

Lakini ukiangalia design na mpangilio na muonekano wa contents zake hazijakaa vizuri. Kikubwa kinchofanya ifanikwe ndahani ni mambo mengi anayoonadika weather sio copy and paste. na walengwa wake ndiyo wanayoyapenda.

II. Zimefichuka

Hiki ni kiblog nimekitengeza juzi . naamini wengi mtakubaliana nami muoneano wake ni mzuri.Lakini pia kuna tatizo. Kwenye hii blog ninachofanya ni copy and paste wikileaks za bongo. Kwa hiyo wakati nimepata design nzuri ya blog , content si zangu na watu wanaweza kupata kwenye original source. so ni kama natoa nakala ya habari iliyotolewa tayari..........

Utumie theme template gani kwenye blog au Tovuti?

Kwa kuwa muonekano tovuti ni kitu cha muhimu laini sio kila kitu basi blger au developer yeyote anatkiwa kujiuliza na kujijibu maswali kdhaa abla hajachagua template. Kwa kuwa siku hizi msingi wa tovuti upo tayari basi kazi za developer inakuwa rahisi. Msingi huu ni kutumia CMS kama Joomla, Wordpress, Drupal, blogger,  etc Kazi kubwa sasa kwa designer na bloggers ni nyumba gani ujenge juu ya msingi uliochagua Hapo sasa ndio inauja issue ya Templates au theme

Sifa za Template/ Theme unayochagua inatakiwa

iendane na dhumuni na mudhui makuu la tovuti au blog yako. tempalte ya shrika kama NSSF, PPF, IPP haitakiwi kuwa sawa na template inayotumiwa na Tovuti kama TBC, ITV, StarTV hivyo hivyo inatakiwa kuwa Tofauti na Blog iayolenga mamb ya Sanaa.

TBC ( Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)) wanatumia CMS ya joomla lakini sidhani kama developer wao alishop arround kutafuta template inayoendana na maudhui yao TBC . Matoeko yake Tovuti ya TBC haina tofauti na Tovuti za magazeti. Kuna template za bure na za kununua amabzo zinaendana na maudhui ya TBC. amabzo wangezitumia basi TBC ingekuwa na safi

NSSF ( http://www.nssf.or.tz/ ) nao wanatumia Joomla wameonyesha umakini wa kutumi template ya Rt_kinetic amabayo unaweza iona hapa http://www.rockettheme.com/joomla-templates/kinetic

Wapi pa kupata template na theme?

Kuna tempalte au theme ziko free na k una nyingine zinahitaji malipo. But kama wewe ni mjasirimali mdg unaweza kupata hata ile za kulipia kwa njia za kichina teh teh teh

Template za bure utazipata moja kutoka kwenye tovuti ya CMS eg joomla, worpress Drupal

Template za kulipia Kama ya NSSF unaweza uzipat kwenye tovuti kama

Joomla Templates, Drupal Themes, WordPress Themes and phpBB3 Styles - RocketTheme

Themes | WooThemes kw theme za wordpress

Na nyingine nyingi uachotakiwa ni ku shop arrong through google.

Unahsauri nini ?

Nashauri bloger na web developer na wabalansi uzito wa muonekano wa blog na Presenatation. Kwa blogger nawashauri wajitahidi walau 50% ya content ziwe wao ndio original source. yaani waepuke copy and paste

Vile Vile Blogger wengi ( wanaotumia domain ya blooger.com) bado wanatumia ile style ya kusrooll down wakati kuna theme na template nyingi sasa hivi blog inaweza kuonekanakama tovuti kamili.......

Sijui wewe msomaji una maoni gani ya kitaalam....

Makala hii imechakachuliwa kutoka How To Choose Professional Web Site Templates | The Template Blog nikachanganya na za kwangu .

Nawasilisha kwa kuponda na kupenda blogu na tovuti mbali mbali kitaalam teh teh teh teh

Endelea kutuchakachulia, ututoe tongotongo.!

2. Thy shall not copy and paste.
I know, I know it's nice to search on google and make use of one of your very basic computer skill, right click, copy and paste, I know it's easy but you can't get credibility online if you run around copying every Hawa, Juma and Amani articles and paste them on your blog. Your readers will not like it and they'll diss you some day.

3. Design
Design is important but from my 8 years of experience making money online I can tell you first hand that it's the least important reason people visit a website/blog.

4. Links
If you're planning to run your blog long term then you must build links. I mentioned above about being a guest poster as one way of building links when you bait vistors to go to your site for further reading but let that not be the end of it, you need to post comments on other blogs and put a linkback to your blog. That way search engine will think/believe your blog is important because it's associated with other similar blogs........

Haya katika Kuendelea kupeana elimu naona niweke swali hili ili wataalam na wazoefu watoe ideas zao Hasa kuhusu kutumia na kutafisir information za Google analytics kuelewa nguvu na mapungufu ya tovuti au blog na hata kujua nini wasoamjai wa mtandao wako wanapenda na nini hawavutiwi nacho

Hapa chini ni baadhi ya takwimu za blog yangu ya research ( http://teknohama.x10.mx/bongoleaks/ ) ambayo machapisho yake ni 100% copy and paste kutoka wikileaks

I . TRAFFIC SOURCEs OVERVIEW
chart

• cleardot.gif
5.38% = Search Traffic niyo hiyo yenye rangi kama blue 5 Visits
cleardot.gif
77.42% = Referral Traffic Ni hiyo yenye rangi kama kijani na zote ni za utoka jamiiforums72 Visits
• cleardot.gif
17.20% = Direct Traffic Ni hiyo yenye rangi kama nyekudu
II . Visitor overview
chart

• cleardot.gif
89.25% = New Visitor ni hiyo yenye rangi kama ya blue 83 Visits
• cleardot.gif
10.75% = Returning Visitor ni rangi hiyo ya kijani 10 Visit

Assume kuwa tawkimu hizi haiztofautiani sana kwa wiki nzima au mwezi mzima. Je kama consultant na mtaalam wa mambo ya web na intarnet . Je

• Blog hii ni healthy na active?.
• Mwenendo wa blog/ tvuti hii ukikaa hivi kwa mwaka unaweza kusema ni wa mafanikio?
• Ukiwa kama consulatnt ni vitu gani utamshauri mwenye blogu au tovti hii ili kubailisha mwennendo wa mambo na kuwa ule unatakiwa
• Takwimu za blog au tvuti standar na active zinatakiwa kuwaje? yaani
• parcent ya referer traffic inatakiwa isizidi ngapi
• Pacent ya retunring user inataiwa usipungue ngapi ?
• direct traffic na search engin trafiic wala zinatkiwa kuwa na % ngapi
• Ni vitu gani utamshauri mwenye blog kama hii afanye?

Naamin wataalam wakitoa uchambuzi wao kwa takwimu za kablog haka zitawasaidia watu wegine wenye blog na tovuti namma ya kisasa ya kutathmini webblog zao

wataalam mwageni nono

Watu wenye blogu na tovuti toeni uzoefu wenu mnatumiaje infomation za google analytics?

Haya katika Kuendelea kupeana elimu naona niweke swali hili ili wataalam na wazoefu watoe ideas zao Hasa kuhusu kutumia na kutafisir information za Google analytics kuelewa nguvu na mapungufu ya tovuti au blog na hata kujua nini wasoamjai wa mtandao wako wanapenda na nini hawavutiwi nacho

Hapa chini ni baadhi ya takwimu za blog yangu ya research ( Zimefichuka ) ambayo machapisho yake ni 100% copy and paste kutoka wikileaks

I . TRAFFIC SOURCEs OVERVIEW
chart

• cleardot.gif
5.38% = Search Traffic niyo hiyo yenye rangi kama blue 5 Visits
cleardot.gif
77.42% = Referral Traffic Ni hiyo yenye rangi kama kijani na zote ni za utoka jamiiforums72 Visits
• cleardot.gif
17.20% = Direct Traffic Ni hiyo yenye rangi kama nyekudu
II . Visitor overview
chart

• cleardot.gif
89.25% = New Visitor ni hiyo yenye rangi kama ya blue 83 Visits
• cleardot.gif
10.75% = Returning Visitor ni rangi hiyo ya kijani 10 Visit

Assume kuwa tawkimu hizi haiztofautiani sana kwa wiki nzima au mwezi mzima. Je kama consultant na mtaalam wa mambo ya web na intarnet . Je

• Blog hii ni healthy na active?.
• Mwenendo wa blog/ tvuti hii ukikaa hivi kwa mwaka unaweza kusema ni wa mafanikio?
• Ukiwa kama consulatnt ni vitu gani utamshauri mwenye blogu au tovti hii ili kubailisha mwennendo wa mambo na kuwa ule unatakiwa
• Takwimu za blog au tvuti standar na active zinatakiwa kuwaje? yaani
• parcent ya referer traffic inatakiwa isizidi ngapi
• Pacent ya retunring user inataiwa usipungue ngapi ?
• direct traffic na search engin trafiic wala zinatkiwa kuwa na % ngapi
• Ni vitu gani utamshauri mwenye blog kama hii afanye?

Naamin wataalam wakitoa uchambuzi wao kwa takwimu za kablog haka zitawasaidia watu wegine wenye blog na tovuti namma ya kisasa ya kutathmini webblog zao

wataalam mwageni nono
Mkuu i real like your challenge.
Mimi si mtaalamu wa haivi vitu lakini unazungumziaje kuhusu hii site ya Global Publishers
Je traffick yake ikoje na mtazamo wako

Mkuu i real like your challenge. Mimi si mtaalamu wa haivi vitu lakini unazungumziaje kuhusu hii site ya Global Publishers Je traffick yake ikoje na mtazamo wako

Mkuu swali lako zuri . Kuhusu global publisheer kujua trafick yake anayeweza kukupa jibu sahihi z ni webmatser wa global.

Lakini hapa kuna changamoto sio tu kwa global publisher lakini taasisi nyingi zenyee tovuti sijui kama zina mtu maaluma awe ni webmaster , web programmer ,ambaye moja ya majukumu yake kiofisi ni kumonitor traffic ya tovuti. Nadhani zaidi watu wanafuatilia idadi tu . Ukiuliza wenye tovuti wengi wakueleze mambo ya bouncing rate, Referer site, News user Vs returning user kuhusu tovuti zao wengi hawana majibu

Kwa kutumia site ya Alexa tunaweza kupata mwanga kidogo kutupa mwanga wa status yakel Globalpublishers.info Site Info. Laini kama nilivyosema mwanzo mwenye uwezo wa kupata takwimu sahii ni webmaster wa globalpublihser kutumia nyezo kama Google analytics na nyingine . Hii alexa ina mapungufu lakini haiko mbali sana na hali halisi

Sasa alexa wanasemaje kuhusu Global
I. Makadirio ya Traffic ya

graph

=36,387 -15,064
up_arrow.gif
37,192 -3,895
up_arrow.gif
41,296 -21,753
up_arrow.gif

II. GRAPH ya Makadirio au wastani wa muda wanatumia visitor wakiwa global

graph

II Wastani wa watembeaji au trafic ya global ambayo ambao wanaingia global kwa kutumia search engine
graph

Unaweza ukaonana mambo mengine na takwimu nyingine kama Bouce rate, Page view per visitor,, etc. Kwa hiy Ni takwimu hizi web master au cosulatant au web owner wanatakiwa kuatafsiri ili kujua wafanye nini kuboresha web zao.

Kwa Traffic alexa wanasema global rank ya Globalpublisser ni ya 41,296 na Tanzania traffic za global publlisher ni site ya 14 kwa umaarufu

Sasa binafsi sio mtaalam sana ndio maana nilimuuliza chamoto na wataalam wengine wakijaribu uwa kama kama consulatant wa web takwimu za blog au tovuti yenye afya zinatakiwa kuwaje ukionoa idaidi amabyo wengi nio wanatumia. wakichukua mfano wa zile tawimu nilizotoa.

Yep... This is a great article @mtazamaji...

Unique Content is a big problem hapa kwetu bongo kwa kweli... Ila hasa ukiangalia kua ni kwa nini hili linatokea!??

Mawazo yangu:

1. Wano/Tunaoblog kwa hapa bongo, wengi tunajitolea, sio fani au income generating activity. Wengi tunafanya kama "part-time" tu na sio kazi kamili kwani bado blogging hailipi.... Na hailipi coz hatuna unique contents.

2. Njia za ku-monetize blogs kwa bongo ni ngumu sana. Kwa mfano tu, cha kwanza ukiangalia wengi wa watanzania wanatumia "BLOGSPOT" ambayo, kui-monetize you need to use "google adsense". Sasa, adsense zenyewe unakuta sio local... Nilitaraji kwenye zile adsense nione saloon au hotel au duka flani linatokea pale ambalo ni la sinza, kinondoni, magomeni au la kule moshi au mbeya... Ila unakutana na tangazo la MBA ya huko michigan... Ni lini mtanzania atali-ckick ili wewe mwenye blog uwe umepata hela!? kasheshe hapa... Sina statistics kamili kua blogger wa bongo anayeongoza kwa adsense income anapata usd ngapi per month...

3. Bado hatuna umoja wa kuhakiki kua, kwa jumla na kwa nguvu zote tunainyanyua hii fani yetu ya websites n blogs in general kwa ajili ya ku-raise advertisers awareness about available online advertisement opportunities and possibilities... We need, joint (at a group level) awareness programs to attract more people online especially advertisers. Then at individual level ndio kila mtu nae awe na strategy zake... Kwa mfano, UNAWAONA WASANII WA MUVI WANAPOCHEZA MECHI ZA SOKA?? Si wajinga, pale wanaitangaza FANI YAO YA MUVI KWA UJUMLA....

4. Nawashauri watanzania wenzangu, msitumie jinalako.blogspot.com kwani mnakosa hela nyingi. Tumieni wordpress downloadable version. Hapa point ni kua, wordpress downloadable haina restrictions linapokuja suala la monetization tofauti na blogspot...

Mwisho nasema TUNAHITAJI UMOJA MKALI WA SISI WANA-ONLINE ILI TUWABADILI WANA-OFFLINE KUWA WANA-ONLINE na hapo TUTAFANIKIWA.

Wenu
Saidi Mdee
Owner: JigambeAds, JigambeBlogs - Blog and Earn, TanzaniaKwetu
BSc. Comp Eng and IT (UDSM)
"Empowering Onlone Presence!"

@mdeesingano

Kwani nini objetive kubwa ya blogger imekuwa ni pesa.? Previously na njia amabyo kwangu naona ni nzuri ni kufanya blogging kuwa hobby tu. Then pesa zitakuja baaadae. .... Am I wrong ?

Mi nadhani mtu anayeazisha blog anatakiwa awe kama anaazisha huduma fulani ya taarifa na elimu kwa jamii. Then jamii ikiikubali hudduma yake pesa zitamfuata. Lakini ukiazisha blog akilini unafikiria adsense na pesa wakati hujajua hata nini cha kuandika kwa jamii. kazi itakuwa kubwa zaidi.

Kuna waliofanikiwa bila kuzingatia mambo mengi ya msingi sabbau walitangulia lakini sabbau hivi sasa nadhaniwawe tofauti. Blogger anatakiwa ajue dymanic na demographics wa visitor wake. Kitu ambacho wengi hawafanyi.......

Dats my view

Yap @mtazamaji... Nakubaliana sana na wewe... Tena I like the famous saying from 3idiot ambapo wanasema "follow excellence, success will follow u pants down"...

Labda hukunielewa vzuri, mi namaanisha kua, mtu anaanza kama hobby au fani kama ilivyo music, soccer au movie ILA sasa, inabidi baada ya muda imlipe otherwise atashindwa kufanya full commitment in delivery value to tanzanians via his blog since itambidi augawanye muda wake katika kufanya blog as a hobby n kufanya another income generating activity...

So, kwa sababu bloga anakua na limited time (time kubwa inatumika kwenye income activities) kwenye blog yake ambayo ni hobby tu... Lazima imfanye akose muda wa kutosha kutengeneza original content!

@mtazamaji... Kwa mfano, katika hzo site zote maarufu kama smashing, Noupe, techCrunch, .net magazine n.k ambazo kuna authors, ujue hao authors wanalipwa that's why wanatumia too much time and investigation to get an original and unique content... Wana kitu kinaitwa "Sponsored Posts"...

Kwa mfano kwa bongo, tunaona blog kibao zinaanzishwa ila ndani ya muda mfupi zinakufa... Unadhani tatizo ni nini!? Huyo mtu alianzisha akiwa anafanya kazi mahala penye free resources for blogging (eg internet, pc or laptop) sasa hana tena hvyo vitu... How can he keep on blogging for fun while hana any income generating activity!? We need to make blogging not only a hobby but also an income generating activity and in that way tutapata bloggers kibao and "Tanzanian original and unique Contents"

Content zipo nyingi sema, people do not bother to digitize them or share them as it doesn't pay doing this while at the same time wanakua watu hawana income generating activities!

Nikichukua mfano wa issa michuzi, kama ulivyosema, yeye katangulia na anafanya poa cz alitangulia na pia mazingira aliyokua yalikua yanampa nafasi nzuri ya kupata blogging resources...

I'm sure, if we unite and change the look of blogging into both a hobby and an income generating activity, tutapata kina issa michuzi wengi sana hapa bongo na content zitatakata mpaka watu watafurahi... You will find a class five student is blogging!

Mwisho, naomba pia ufanye research kua kwanini bloggers wengi siku hizi wameacha blogspot na wanatumia wordpress ili utupatie tena unono katika hilo kaka....

Thanks!

Wenu
Saidi Mdee
Owner: JigambeAds, JigambeBlogs - Blog and Earn, TanzaniaKwetu
BSc. Comp Eng and IT (UDSM)
"Empowering Onlone Presence!"

I'm sure, if we unite and change the look of blogging into both a hobby and an income generating activity, tutapata kina issa michuzi wengi sana hapa bongo na content zitatakata mpaka watu watafurahi... You will find a class five student is blogging!

Side hapo nimekupata mkuuu
Union ni ya uhimu uunganisha nguvu lakini tatizo sometime hata sisi watu wa ICT tunadhani union ni mpaka watu waonane uso kwa uso au wawe mkoa mmoja. . Developer wa Joomla au wordpress inawezekana wanaonana kwa bahati na wako nchi mbali mbali lakini wanapaga kitu na kina kwenda. Na hivyo nivyo Internet inatakiwa kutusaidia sisi . Wa Dar-Kigoma- Kahama, london wafanye elctronic union na waje na kitu fulani.

Tulijaribu hapa na wenzangu kufanya kituu fulani kwa jamii tukashindwa .. Pia sisi watu wa IT lakini ndhani wengi wetu hata defintion ya neno OFFICE bado ni ile ya miaka 1990. yaani watu waonane au wafanye kazi kwenye jengo moja ndio wakamilishe kitu....... Inabidi tuwe mfano kuwa tunaweza kufanya mambo beyond conventional or traditional way....

Kwa hiyo wakati kuna vikwazo kibao lakini na sisi kama wataalam inabidi tuwe mfano kuwa hata UNION inaweza kufanyika beyond regioanl , natioanal , continental borders na Hiyo UNION inabii itoe kitu fulani kwa jamii.

May be toa ushairi Assume UNION ipo. Nini UNION inatakiwa kufanya ? Maana UNION zipo kama ile ya TPN

• Blog hii ni healthy na active?.
• Mwenendo wa blog/ tvuti hii ukikaa hivi kwa mwaka unaweza kusema ni wa mafanikio?
• Ukiwa kama consulatnt ni vitu gani utamshauri mwenye blogu au tovti hii ili kubailisha mwennendo wa mambo na kuwa ule unatakiwa
• Takwimu za blog au tvuti standar na active zinatakiwa kuwaje? yaani
• parcent ya referer traffic inatakiwa isizidi ngapi
• Pacent ya retunring user inataiwa usipungue ngapi ?
• direct traffic na search engin trafiic wala zinatkiwa kuwa na % ngapi
• Ni vitu gani utamshauri mwenye blog kama hii afanye?
I . TRAFFIC SOURCEs OVERVIEW
chart

• cleardot.gif
5.38% = Search Traffic niyo hiyo yenye rangi kama blue 5 Visits
cleardot.gif
77.42% = Referral Traffic Ni hiyo yenye rangi kama kijani na zote ni za utoka jamiiforums72 Visits
• cleardot.gif
17.20% = Direct Traffic Ni hiyo yenye rangi kama nyekudu

Dah mimi si mtaalamu ila niseme tu ni lazima uangalie trends ili ujue kama kuna mabadliko (ongezeko ama upungufu). Mfano ukilinganisha wiki iliyopita na leo, je kunaongezeko ama upungufu? Ukishajua hivyo utatafuta cha kufanya ili kuongeza wasomaji.

Kwenye traffic sources inaonesha kuwa aidha blog yako haiko optimized au watu huwa hawa search maneno yaliyo kwenye blog yako kwenye seach engine. Pia 77.42% inaonesha unategemea sana traffic upande mmoja (JF), siku PAW akikubani sijui utafanyaje (LOL)? Jaribu kutafuta visitors sehemu mbalimbali hasa kutoka search engines kwa kubuild links. Search visitors huwa ni high quality kwasababu wameonesha nia kutatafuta kile kilicho wakuna.

Kitu kingine chakuangalia ni bounce rate, yaani ni muda gani visitors wanakuwa kwenye blog yako? kama ni zaidi ya 70% itamaanisha hawakupenda /hawakutegemea walichokiona kwenye blog. Chakufanya ni kufanya kitu kinaitwa split testing ambapo unakuwa na version mbili ya makala moja ila kuna tofauti ndogo (mfano kichwa cha habari, template au background color) halafu unaiacha i-run kwa muda ili upate data. Kama unajua php ni rahisi kutengeneza ka script kanacho output one of two version at random every time it runs. Unaweza ukawa fancy kwa kutengeneza complicated script inayo test mambo mengi kwa pamoja kama taguchi methods lakini hiyo si lazima.

Baada ya muda utaona version ipi inapedwa zaidi (convert better) kwa kuangalia vitu kama bounce rate, call to action (hapa ni pale unapo waambia visitors wa click link)

II . Visitor overview
chart

• cleardot.gif
89.25% = New Visitor ni hiyo yenye rangi kama ya blue 83 Visits
• cleardot.gif
10.75% = Returning Visitor ni rangi hiyo ya kijani 10 Visit

Kuhusu returning visitors ni bora pia ujue ni muda gani msomaji anahesabika kama ni return visitor. Sijui kwenye Google analytics imesetiwa vipi lakini kama namba ni ndogo (mfano dakika 5) basi data zako za return/new visitors zinaweza zisiwe nzuri sana.

Nakushauri pia uweke code ya statcounter (ni free) ili uweze kupata data nyingi zaidi. Wao wakaonesha mpaka ip adress, isp, type of user's browser n.k

topic nzuri sana .can someone try tell me uzuri na ubaya wa hii blog Tz downloads.ili nijue wat to advice the person concern

Ebu fanya hivi. Nenda google then aandika maneno haya
Site:tzdownloads.blogspot.com

Kitakachotokea hapo ndio taarifa jinsi google ilivyo Index tovuti au Blogger yako.

Je unaona Ni sawa au ungependa article zao ziwe indeed kabla ya Kuindez Archive za miezi.?

google tool za kugenretae site map katika XML alafu badilisha priority ya article iwe kubwa kuliko priority ya archive.

Unaweza kusoma huyu jamaa » Do You Need a Blog Sitemap?

Back
Top Bottom