Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
........ know that the looks of the website.blog is a major thing but it is not everything...
Kuna watu, ashirika au blog wanatumia nguvu nyingi sana kutegeza website nzuri lakini wanasahau factors nyingine.
Vile vile kuna watu tovuti au blg zao haivutii kimuonekano lakini zina contents amabazo zinavutia na za kipekee
Specfic Observation
I. U Turn Blog
Nadhani ni blog inayopeedwa sana na kundi fulani la watu hasa wa kike. nadhani katia blog zenye trafic kubwa ndani ya Tanzania hii u-turn imo.
Lakini ukiangalia design na mpangilio na muonekano wa contents zake hazijakaa vizuri. Kikubwa kinchofanya ifanikwe ndahani ni mambo mengi anayoonadika weather sio copy and paste. na walengwa wake ndiyo wanayoyapenda.
II. Zimefichuka
Hiki ni kiblog nimekitengeza juzi . naamini wengi mtakubaliana nami muoneano wake ni mzuri.Lakini pia kuna tatizo. Kwenye hii blog ninachofanya ni copy and paste wikileaks za bongo. Kwa hiyo wakati nimepata design nzuri ya blog , content si zangu na watu wanaweza kupata kwenye original source. so ni kama natoa nakala ya habari iliyotolewa tayari..........
Utumie theme template gani kwenye blog au Tovuti?
Kwa kuwa muonekano tovuti ni kitu cha muhimu laini sio kila kitu basi blger au developer yeyote anatkiwa kujiuliza na kujijibu maswali kdhaa abla hajachagua template. Kwa kuwa siku hizi msingi wa tovuti upo tayari basi kazi za developer inakuwa rahisi. Msingi huu ni kutumia CMS kama Joomla, Wordpress, Drupal, blogger, etc Kazi kubwa sasa kwa designer na bloggers ni nyumba gani ujenge juu ya msingi uliochagua Hapo sasa ndio inauja issue ya Templates au theme
Sifa za Template/ Theme unayochagua inatakiwa
- iendane na dhumuni na mudhui makuu la tovuti au blog yako. tempalte ya shrika kama NSSF, PPF, IPP haitakiwi kuwa sawa na template inayotumiwa na Tovuti kama TBC, ITV, StarTV hivyo hivyo inatakiwa kuwa Tofauti na Blog iayolenga mamb ya Sanaa.
NSSF ( http://www.nssf.or.tz/ ) nao wanatumia Joomla wameonyesha umakini wa kutumi template ya Rt_kinetic amabayo unaweza iona hapa http://www.rockettheme.com/joomla-templates/kinetic
Wapi pa kupata template na theme?
Kuna tempalte au theme ziko free na k una nyingine zinahitaji malipo. But kama wewe ni mjasirimali mdg unaweza kupata hata ile za kulipia kwa njia za kichina teh teh teh
- Template za bure utazipata moja kutoka kwenye tovuti ya CMS eg joomla, worpress Drupal
- Template za kulipia Kama ya NSSF unaweza uzipat kwenye tovuti kama
- Joomla Templates, Drupal Themes, WordPress Themes and phpBB3 Styles - RocketTheme
- Themes | WooThemes kw theme za wordpress
- Na nyingine nyingi uachotakiwa ni ku shop arrong through google.
Nashauri bloger na web developer na wabalansi uzito wa muonekano wa blog na Presenatation. Kwa blogger nawashauri wajitahidi walau 50% ya content ziwe wao ndio original source. yaani waepuke copy and paste
Vile Vile Blogger wengi ( wanaotumia domain ya blooger.com) bado wanatumia ile style ya kusrooll down wakati kuna theme na template nyingi sasa hivi blog inaweza kuonekanakama tovuti kamili.......
Sijui wewe msomaji una maoni gani ya kitaalam....
Makala hii imechakachuliwa kutoka How To Choose Professional Web Site Templates | The Template Blog nikachanganya na za kwangu .
Nawasilisha kwa kuponda na kupenda blogu na tovuti mbali mbali kitaalam teh teh teh teh