wATANZANIANIA NI WAVIVU WA KUFIKIRIA.
HUU WIMBO TULIUKOPI KUTOKA AFRIKA YA KUSINI NA TUKAUTAFSIRI.
HUWA NACHEKA SANA ETI KUNA LIJAMAA LINASEMA ETI LENYEWE NDIO LILIUTUNGA HUO WIMBO WAKATI UNAJULIKANA KABISA ASILI YAKE
ushauri wako ni mzuri, ila kuna siku nilisika kuwa huu wimbo umenyambulishwa kutoka nyimbo za kanisa so kama ni kweli basi mungu lazima atajwe kila mahali kutaka msaada. Huo wimbo ulivyo hauna tofauti na wale ndugu zetu waliohamia pale uwanja wa ndege Dar wakitarajia kupitia jina la bwana wangeenda ulaya kwenda kuhubiri neno lake na matokeo yake wakaishia kuugulia njaa na kuomba msaada. sisi bila kujishughulisha hakutatengeneza differences, napendekeza hata mimi kuwa tuache tu kumtegemea mungu bila ya sisi kujishughulisha. wewe mvua inanyesha halafu umelala huku ukiomba mungu uvune mahindi, hivi huu siutakuwa uchizi? tunaambiwa kuwa mungu habadilishi yaliyo kwa binadamu mpaka yeye (binadamu) abadilishe yaliyo kwenye moyo (matendo) wake. naunga mkono huu wimbo ubadilishwe
Nawasilisha.
Kilembwe said:Kwanini isiwe SA ndio wame copy toka kwetu? huu wimbo hauna tatizo lolote, mkimaliza wimbo mtasema na Dua ya kuliombea bunge nayo ibadilishwe!
wATANZANIANIA NI WAVIVU WA KUFIKIRIA.
HUU WIMBO TULIUKOPI KUTOKA AFRIKA YA KUSINI NA TUKAUTAFSIRI.
HUWA NACHEKA SANA ETI KUNA LIJAMAA LINASEMA ETI LENYEWE NDIO LILIUTUNGA HUO WIMBO WAKATI UNAJULIKANA KABISA ASILI YAKE
wATANZANIANIA NI WAVIVU WA KUFIKIRIA.
HUU WIMBO TULIUKOPI KUTOKA AFRIKA YA KUSINI NA TUKAUTAFSIRI.
HUWA NACHEKA SANA ETI KUNA LIJAMAA LINASEMA ETI LENYEWE NDIO LILIUTUNGA HUO WIMBO WAKATI UNAJULIKANA KABISA ASILI YAKE
Wa-Tanzania kwa visebengo Hatujambo! Yaani sasa hivi tumegeukia Wimbo, la Katiba hatujamaliza watu mmeanza tena wimbo wa Taifa! Hebu tuache masikhara waungwana. Safari moja huanzisha nyingine tumalize kwanza Katiba ndo tuje kwenye wimbo kama kuna ulazima. Ingawa kwangu sioni ubaya wa kumtaja Mungu maana yeye ndiye anayetupa hekima, maarifa na nguvu ya kufanya kazi vizuri. Kikubwa tuwadhibiti hawa mafisadi hapo ndo Taifa litaenda mbele. Wimbo tu hauwezi kutufikisha popote.
Mungu ibariki Afrika- kwa nn ubeti wa kwanza uanze na africa. No priority
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani I think neno uzalendo nila muhimu
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
CHORUS:
Ibariki Afrika(x2)
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja- are these two the only or most important
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
CHORUS:
Ibariki Tanzania(x2)
Tubariki watoto wa Tanzania.
Nyongeza
Huu wimbo umekaa kama tunamlilia lia mungu. why kwann tusitunge wimbo wa kuonyehs wajibu wetu sababu huyo mungu katupa akili.
Serikali yetu haina dini kwa nn mungu atajwe kwenye beti zote. Zitunge betiza kuhamashiha watu wafanye kazi, watoe haki na kuwa huru. Though I belivein God kwa serikali it too much
Nawasilisha kwa mjadala
ushauri wako ni mzuri, ila kuna siku nilisika kuwa huu wimbo umenyambulishwa kutoka nyimbo za kanisa so kama ni kweli basi mungu lazima atajwe kila mahali kutaka msaada. Huo wimbo ulivyo hauna tofauti na wale ndugu zetu waliohamia pale uwanja wa ndege Dar wakitarajia kupitia jina la bwana wangeenda ulaya kwenda kuhubiri neno lake na matokeo yake wakaishia kuugulia njaa na kuomba msaada. sisi bila kujishughulisha hakutatengeneza differences, napendekeza hata mimi kuwa tuache tu kumtegemea mungu bila ya sisi kujishughulisha. wewe mvua inanyesha halafu umelala huku ukiomba mungu uvune mahindi, hivi huu siutakuwa uchizi? tunaambiwa kuwa mungu habadilishi yaliyo kwa binadamu mpaka yeye (binadamu) abadilishe yaliyo kwenye moyo (matendo) wake. naunga mkono huu wimbo ubadilishwe
Nawasilisha.
Huu wimbo ulitungwa wakati wa "Zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM",
Wabariki Viongozi wake - yaani viongozi tu ndio wabarikiwe, sisi wengine tubaki kama tulivyo?
Ndio maana kweli viongozi wamebarikiwa
Walaani viongozi waake.. Wabadili vioongozi waake.. Waadhibu vioongozi wake...