Life with out sex !Tu sipo nae Bali wapo wengi hata ninao fanya nao kazi.
Na hata wao wenyewe wanatamani Sana wangonoke na mimi lakini nimeweka nadhiri na sitaki ni ivunje.
Ngono si njema.
Ila pia nieleweke nazungumzia Ngono.
Na si mapenzi ndani ya ndoa
SinaUna mpenzi?
Kwelii KakaNimekuzidi siku mbili mkuu,mimi tangu feb 4 mwaka 2020,na sijapungukiwa chochote.
Ni sifa hasa Kwa Sisi Wa Africa na ndo maana tamaduni zetu zilitawala Sanaa mpaka ndoa za mitala na watoto zaidi ya 20.Kwani kugegeda Ni sifa?
Hili nalo nenoo, mzee njoo ujibu hapa.Wakufanya nae unaye?
Au ndo unaongea tu.
Upungufu sina kabisa na ndomaana Nina sifa ked ked za urijali hata niamkapo na hata nitazamapo.Labda huna demu mkuu....au upungufbwa nguv za kiume
Wapo tuu wengi hata mitaa.Hili nalo nenoo, mzee njoo ujibu hapa.
Nyeto si nzuri ni Bora kungonokawe sema ni mzee wa nyeto