Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,120
- Thread starter
-
- #21
Tu sipo nae Bali wapo wengi hata ninao fanya nao kazi.Kumbe kama haupo naye kwa sasa inamaanisha Hauna.
Ungekuwa unalala naye kila siku, ndo ningekuona unachakujisifia.
Asa we unalala kipweke tu afu unasema hujasex, Ulitaka ufanye na nani sasa?
Ni sifa Kwa kada ya age yanguKwani kutokugegeda ni sifa?
Wee bwana sema huna hela tuu 🤣🤣🤣🤣Nimefanya mapenzi Kwa mara ya Mwisho
Tar 6 Feb 2020 mpaka sasa sija kutana na mwanamke yeyote.
Namshukuru Mungu Kwa maana nimetimiza malengo yangu mengi makubwa sanaaaa.
Najua ninge ngonoka nisinge fika hapa nilipo.
Siri
1.Mazoezi Sanaa
2.Kuangalia Series kali za kusisimua
3.Kusoma majarida na vitabu mfano wa Motivational books.
Kufanya kazi nyingi online na hata Ku enjoy na Jf.
Na mpaka sasa sija dhurika na nimezidi kuwa fit Sanaa Kwa misuli wepesi na ngozi nzuri isio fubaa.
Ngono sio nzuri ukiendekeza.
Kumbe huna uwawika wa kula?..Pole sanaNi sifa Kwa kada ya age yangu
Uweze kuishi bila ya kungonoka ukiwa na uhakika wa kula.
Hata uwakika wa kulala.
Kwakuwa kibongo njemba ukiweza kuleta ugali gheto kunasiku unaleta na mwanamke gheto wa kungonoka nae.
Matendo ya imani. Matendo ya imani yana thawabu zake huko mbele ya safariKwani kutokugegeda ni sifa?
Kwa weekWee bwana sema huna hela tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We miezi 10 tu
Umeamua kufungua na uzi [emoji23]
Watu wanakaa miaka hadi 5
🤔🤔 Hongera kwa kufika hapo ulipo.Najua ninge ngonoka nisinge fika hapa nilipo.
We utakua una matatizo unayaficha kwa kisingizio cha kutofanya ngono..
Nimefanya mapenzi Kwa mara ya Mwisho
Tar 6 Feb 2020 mpaka sasa sija kutana na mwanamke yeyote.
Namshukuru Mungu Kwa maana nimetimiza malengo yangu mengi makubwa sanaaaa.
Najua ninge ngonoka nisinge fika hapa nilipo.
Siri
1.Mazoezi Sanaa
2.Kuangalia Series kali za kusisimua
3.Kusoma majarida na vitabu mfano wa Motivational books.
Kufanya kazi nyingi online na hata Ku enjoy na Jf.
Na mpaka sasa sija dhurika na nimezidi kuwa fit Sanaa Kwa misuli wepesi na ngozi nzuri isio fubaa.
Ngono sio nzuri ukiendekeza.
Kwani kugegeda Ni sifa?Kwani kutokugegeda ni sifa?