CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
Hahahahahaaaaa......
Lazima ujivunie kuwa Mtanzania bana, yaan siku ya Mapendo tufanye kazi Lol????
Font style,font size
Utawafukuzisha kazi wenzio
Profesa maji marefu au kigoda ndo rais wenu??
Ni ya kweli hayo jamani?
Haya mkapumzike msiingie jamii siku hiyo
Font style,font size
Utawafukuzisha kazi wenzio
Sio kweli mwaya
Ni kweli.... Hutaki sasa??
Yaan kuwa mtanzania raha kweli..... Saiv nimelala kwa raha zanguuuu!!!!!