MAPOVU TOKA CCM; Mgeja ataka Sabodo avuliwe uanachama

Msaliti? kwani ni mume wake huyu?! Sabodo anatoa misaada kuwasaidia watz kwani amekichangia magamba kwa 50 yrs hakuona lolote....sasa ameona pahala akiweka hela inatumika vyema ndo maana atatoa na kutoa zaidi...
 

Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

Mtu standard IV unategemea atatoa mawazo gani?hapo uwezo wake wa kufikiri ndipo ulipoishia!badala ya kuwaza kuwawajibisha kina Change na wezi wengine wanaoiba kwa mgongo wa chama anawaza kumvua uanachama Sabodo,yeye anafikiri Sabodo anafaidika nini kua mwanachama wa C.c.m?wazee wengne hovyo kabisa
 
waache waendelee kuharibikiwa kama wale waliokuwa wanajenga mnara wa babel ili CDM tuzidi kupeta
 

Hata Mh. Lembeli sio size yake. Labda Maige.

Angekuwa baba yangu huyu ningemzushia kelele za mwizi watu wamchome moto halafu ningewahi kuuzima. Hivi hakuna anayewafahamu watoto wa huyu mzee tuwashauri wamwambie baba yao anyamaze kuepuka aibu?
 
tatizo mgeja anadhani bado ana influence kama wakati ule....

Hivi aliwahi kuwa na influence?!!!mi huwa namuona kasuku wa lowassa tu anafuatisha kila anacholopoka bwanake huyo anaemtumikia ili mkono uende kinywani,yeye mwenyewe gamba linalosubiri kuvuliwa.
 
Kwa ccm unaweza kuta ana Phd yake hapo siyo jambo la kushangaza kwani ni viongozi wangapi wa ccm wanaelimu zao zilizoshiba ila maneno, matendo na hata maamuzi yao hayafanani na elimu yao!?

Kumbe Mgeja anafaa!
 
Hata mbaazi ikikauka husingizia jua, CCM wameshaanza kutafuta wachawi na kusahau walivyowaharibia wananchi.
 

Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

Huyo mzee hana akili,anadhan jamii bado inahitaji viongozi majuha na ma-maimuna kama yeye tena.
 
Kumdiscuss huyu jamaa ni sawa na kumpa umaarufu!
Tumpotezee tuu maana amepitwa na wakati naona bado yuko kwenye zama za Chama Kushika hatamu
 
Sabodo ana matatizo ya akili kutokana na umri mkubwa alionao na Chadema wanatumia advantage hio kukwapua mali yake na kimsingi hata haja ndogo inamtokaga bila kujijua....kuhusu kadi ya ccm si kweli anayo kadi ya ccm kwani kadi alionayo ni ya zamani ambazo zilifutwa kitambo.

Yaaani wewe ndo mautumbo ya bata kabisa..
 
Mgeja angejipanga kupambana na Lembeli maana hata huo uenyekiti unampwaya sana sasa maana anapigia kelele ufsadi hana jipya!!kama anaweza sana kuwavua uanachama mafisadi wako wapi??namshauri angejiunga kwanza na shule ngumbalu kutoa ujinga wa elimu kwanza kabla kurudi tena jukwaani hii sio karne ya fitna ni ya ukweli na hakika
 
Sabodo anawatumikia wananchi wote wa Tanzania, bila kubagua, na wewe Mgeja, ni miongoni mwa Watanzania
unayenufaika kwa kile Sabodo, anachochangia katika maendeleo. Kupitia kwenye mikono ya watu waadilifu yaani CDM.
 
sabodo hawezi peleka hela zake ccm,serikali ya ccm inatafuna pesa za walala hoi sembuse za sabodo? Kawanza sabodo alishahama ccm mda mrefu.ni ccm mfu.
 
Mgenja sabodo siyo size yako wewe size yako ni Lembeli!

Mytake:Sidhani kama kwenye katiba ya CCM imekataza wanachama kusaidi chama kingine!

Huyu Hamisi Mgeja anaweweseka kwa kumuogopa Lembeli atakavyomvua gamba lake la uenyekitii wa Mkoa wa chama cha magamba!!
 

Kada wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mgeja, anadaiwa kataka Mzee Sabodo kuvuliwa uanachama wa CCM kwa kitendo chake cha kuisaidia CDM, anesema anacho kifanya ni usaliti.

Chanzo: Mtandao wa Wanabidii.

Kuwa na ubongo wa kuku si lazima utembee na chupi kichwani. Sasa hata kama wakimvua Sabodo uanachama atadhurika nini? Dr. Slaa alisema last week kuwa "Sabodo anafanya biashara zake kwa uwazi na pays his dues". Hata TRA hawana cha kumtisha, yaani siku hizi kweli unaweza kutishwa na CCM kwenye dunia ya leo...kweli!!! Hata kama hasipokuwa mwanachama wa chama chochote, Sabodo bado ana moyo wa kuwasaidia watanzania wengi wasio nacho. F..U..C..K SISIEMU:smash:
 
Magamba inakula kwenyu this time. Mtajiju mwaka huu. Mtapigika kikweli kweli. Yaani hadi 2015 mtakuwa nyang'anyang'a!!
 
Anadhan tanzania ya leo bado watu wanatishiana kwamba ukijiondoa katika chama tunakunyanyasa au anayanyasika na mambo ya kipuuzi...haha mda wa kuishi kwa kutegemea favor has passed baba mgeja kakae kwako uone picha linaendaje
 
Back
Top Bottom