Mapori ya akiba matano kuwa hifadhi za taifa

Mapori ya akiba matano kuwa hifadhi za taifa

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Ni:
1. Burigi
2. Biharamulo
3. Kimisi
4. Ibanda
5. Rumanyika Orugundu

Chanzo: MTANZANIA
 
Attachments

  • IMG_20180525_084225.jpg
    IMG_20180525_084225.jpg
    161.5 KB · Views: 51
hayo mapori yana vivutio vya utalii kama wanyama au watapeleka wanyama huko?
Pori la biharamulo nalifahamu ni makazi wa wafugaji wavamizi na wahamiaji haramu wanachana mbao kinyume na sheria na hakuna vivutio vya utalii
 
Kimisi kuna tembo, twiga, simba, swala, mamba, viboko. Kwa ufupi mapori yote hayo yana wanyamapori wengi tu.
 
Haa
Kweli Hapo Sasa Ndiyo Utaona
Zilongwa Mbali Zitendwa Mbali

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
 
Tulichelewa sana kuchukua hatua hizo kwa kuwa na mashalobaro kama LaNyarAndo kwenye Wizara nyeti kama hii. All in all wakati ni sasa
 
Back
Top Bottom