Massa
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 647
- 794
Acha jazba mkuu tofautisha muislam na anayeitwa muislam,kwani hawapo waislam wanaokula kitimoto au kunywa pombe lkn dini imekataza,na hayo makundi ya wahuni huko Libya,somalia hawapo ktk misingi ya uislam na uislam haujaelekeza hivyo fuatilia kumbuka si kila mtu anaeitwa Mohammed hassan basi wametimia katika uislam wao wengine ni majina tu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
sikukuu njema mkuu. Kama nchi za kiislam asilimia 100 hakuna waislam safi wa kuongoza wengine basi jua kuna shida sehemu. Yote kwa yote tumpe muda madam na tumuombee kwa Mungu ampe hekima na afya njema.