Hapo kwenye demokrasi Nyerere anadanganya huku anajua kabisa anasanganya.
Kashamsima John Stuart Mill, kashakaa ma Fabian Society debate ya Edinburgh kitambo sana, kwa hiyo si mtu ambaye hakujua kwamba kunyima uhuru wa vyama vingi ni kuminya demokrasia.
Hata majibu yake kwenye hiki hayako convincing. Uzuri style ya mahojiano si kama ya "Hard Talk".
Hapa alikuwa anahojiwa, akichemsha anaachiwa muandishi anawnda kwenye swali lingine.
Nyerere angewaachia tu kina Zuberi Mtemvu na Congress yao waendelee, angewatandika kwenye chaguzi kwa kura kihalali na kuonesha watu wanapenda TANU
Hii nafikiri ni moja ya sababu Kambona aligombana na Nyerere.
Sent using
Jamii Forums mobile app