R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Dk. Willibrod Slaa, hupo rasmi Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo linaundwa na viongozi kutoka katika kila jimbo la mkoa huo, linalofanyika kwa muda wa siku tatu katika wilaya ya Karagwe.
Mheshiwa Dk slaa amekuna na upinzani mkubwa wilayani Karagwe kutokana na kutopokelewa na wanchi wengi.
Hii ni kutokana na Chadema kutokuwa na mvuto wilayani Kargwe.
Mapokezi yake yalikuwa Duni sana ukilinganisha na sehemu nyingine.
Picha ntapost wkt wowote Mheshiwa dk slaa ni nukuu aliyosema wakati wa kiakao
'' Dk. Slaa alisema CHADEMA waliwezesha kufutwa kwa kodi za manyanyaso katika wilaya ya Karatu baada ya kulikalia kidete suala hilo, na ndipo CCM ilitumia sera hiyo na kuondoa kodi za namna hiyo takriban nchi nzima.
Aliongeza kuwa walianzisha pia sera ya kujenga zahanati kila kata wilayani Karatu, ambayo nayo CCM baadaye ilichukua na kisha kutangaza kuanzisha utaratibu wa kujenga zahanati kila kata nchi nzima.
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, CHADEMA tuliahidi sera ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi nchi nzima kama tungeingia madarakani. Wakati huo CCM ilidai haiwezekani ila sasa nao wametangaza kupunguza gharama za bidhaa hizo, alisema.
Alifafanua ni wazi kuwa CCM ikiweza kutekeleza sera ya CHADEMA ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi na kutoa elimu bure kabla ya mwaka 2015, watafurahi maana hawana wivu,''