Mapokezi ya Ezekiel Maige yalikuwa hivii

Mapokezi ya Ezekiel Maige yalikuwa hivii

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,632
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa wakati wa mapokezi ya E. Maige baada ya kutimuliwa kibarua.

attachment.php
 

Attachments

  • 181459_420068381356946_416065240_n.jpg
    181459_420068381356946_416065240_n.jpg
    75 KB · Views: 1,073
Kibarua alichoomba ni uwakilishi wa wananchi wa Msalala. Ametimuliwa huko?
 
Alikodi na watu wa kulia na kuzimia kama rost tamu,tazma huyo jamaa anayeshika shada
 
siasa za bongo ni zaidi ya bongo movie kudadadadadekiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mimi nilihudhuria huo mkutano na huyu jamaa namfahamu anaitwa Nghomango, hapo alikuwa anamlilia mbunge ili awasaidie kupata fedha za pamba ambazo hatukulipwa tangu msimu uishe
 
huyu jamaa mwendawazimu kweli na bora amekosa uwaziri tatizo wanapenda sana u mungu.
 
Hivi huyu jamaa anayelia ana mke na watoto kweli?
attachment.php
 
Back
Top Bottom