kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
Kama uliisikiliza na kuisoma Hotuba ya jana ya Dr Slaa na mahojiano aliyoyafanya je hiki ulichokiandika hapo kwenye RED kina maana na msingi wowote?