Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

kumbe mtu akienda hanimuni wapambe kazi yao ni kupost kama big brother? kazi unayo Jose? ila ndoa kazi. hakuna chochote anachofanya zaidi ya kusambaza vipeperushi vya tour yake na hoteli aliyojenga kwa fedha za chama, acheni kuwalaghai watanzania. hawana akili ndogo kama zenu. kweli akili ndogo kazi sana.
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Hii ni syphilis ya akili,kwani hao kwani wanakula kwako? Au kwanini mnasombelea watu kwa malori waudhurie mikutano yenu msiwaache wafanye kazi?
 
ni Rais wetu ambaye hakutangazwa tu na mfumo wetu mbovu wa Uchaguzi, lakini ndani ya mioyo yetu anabakia kuwa Legend. Hilo halina ubishi.
 
Hamy-D, wewe unamshabikia nani?? Au ndiyo wale mliopewa pipi na soda mkaona haya ndiyo maisha?? Ukikua utayajua na utaona. Time'll tell YOU.

Kukua ni kuona mengi. Ni lazima uwashabikie walioona mengi. Mdogo humshabikia mkubwa kwa mantiki hiyo hiyo kuwa mkubwa ameona mengi. Kuona mengi ni pamoja na maisha ya kimwili, kiroho na kiakili pia. Hamy-D atakuwa ni wa ajabu kuwa hana wa kumshabikia. Hata Mungu mwenyewe anawashabikia wanadamu maana amesema, ".....mtu akinitumikia MIMI (Mungu) nitamweshimu mtu huyo....."
 

kwakuwa hakili zenu haziwashi munaweza mukafanya hivyo mtu alikuwa ameeda kutanua na mke wa mtu halafu munamupoke kwa maadamo
 

je,wewe na hiyo kambi yako mnafanya kazi saa ngapi kucha,kutwa mpo hapa hata chooni hamuendi
 
kwakuwa hakili zenu haziwashi munaweza mukafanya hivyo mtu alikuwa ameeda kutanua na mke wa mtu halafu munamupoke kwa maadamo

Afadhali aliyeenda na mkewe kuliko aliyebeba mamako kama hawara na kwenda kubadilisha damu yenye VVU kwa kodi yako! Kwanza kabeba mamako pili kamuambukiza VVU tatu katumia kodi yako kubadili damu yake mwenyewe!!
 

Kwa mara ya kwanza umenifurahisha. Na tunasema under CDM kila mtu atafanya kazi na matokeo yake hali ya maisha kwa kila mTZ itapanda. hali ilivyo sasa aliyeajiriwa badala ya kuchapa kazi anafikiria jinsi ya kuiba na kudai rushwa! Hii ni kuanzia topmost! Asiyeajiriwa hata kufanya usafi katika mazingira anayoishi shida. Kumbuka enzi za Mrema kila mtu alichangamka...sungusungu na usafi.
 
Nani anasema ni maandamano? Kumpokea mtu anayerudi safari ni lazima iwe maandamano?

Dr.Slaa ni kipenzi nambari wani cha Watanzania. Akirudi safari ya kikazi lazima apokelewe kwa shangwe. Kwanini kinakuuma? Sitakuweko kwani niko mbali na Dar.

Slaa alipoondoka hajamuaga mtu. Kaingia mitini kimya kimya. Saa ya kurudi watu mantaka kwenda kujaza nafasi JKNIA!!!
 
DR Slaa alitaja tatizo la msingi Tanzania kuwa ni 'human capital' na hii inaonekana wazi katika huu ujumbe wa hii Thread.

Mapokezi! what a waste of time!
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz

inaonekana umeyasahau ya babako ...cjui tuitafte thread ya mzee wako ya mwka jana?au wewe mtoto wa kilango sio?
 
tujulisheni anakuja lini! ameitangaza vema nchi yetu pendwa ya tanzania sio kama wengine wanaoenda kutembelea timu za michezo kana kwamba ndo kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…