Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)

Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)

sema tunaweza kutiririka hapa kukushauri au kukutia moyo badae ukaja na uzi wa kusema ni jokes, hauaminiki Kijana ila pole mwaya Mungu atakuvusha

ukipata muda sikiliza kibao cha paul Clement wimbo unaitwa "Mwaminifu" au Ambwene "Nimeachilia" huwa zinabariki flani hivi
 
Mimi huwa na majuto sana katika maisha yangu..

Nime pitia mengi sana, ambayo sometimes huwa najiuliza as to why God alinipitisha!

Trauma, ilinifanya nikawa phobic, yaani niliona kabisa, this place(world) sio sehemu yangu.

So Nikawithdraw into addiction, imenichukua muda sana. Nimekaa kuogopa kuishi kwa miaka mingi, because ya maumivu mengi sana.

Ila mapenzi ya Mungu bwana, alifanya vile kuni humble. By the end of last year, kidogo nitoweke kabisa, I was suicidal.

Ila nikasema ngoja tuone, ilikuwa unatamani usiku ufikie kalale then upitlize kabisa usiamke... That's how insane my depression was.

Ila niliweza kuvuka.

Kilicho baki huwa ni regrets onto the years I lost kupitia tanuri la mateso.

Now, I don't judge people going thru hell, najua kuwa hatuko in control as how people think, kila mtu anakuwa affected by things ambazo hata yeye hayuko aware of.

Hata mapigo yako ya moyo huwezi control, pumzi unayo vuta ina happen involuntary, yaani we always want the best, but God has better plans for us.

Japo kuwa am not into religion u do believe kuwa kuna higher power, inayo sababishwa kila destiny ya mtu au kiumbe hai itokee.

Tupac alisema, "don't blame me, I was given this world, I did not make it"


Nawatakia weekend njema.
Nyuzi zako zina madini sana ukiandika uwe unaniTag
 
sema tunaweza kutiririka hapa kukushauri au kukutia moyo badae ukaja na uzi wa kusema ni jokes, hauaminiki Kijana ila pole mwaya Mungu atakuvusha

ukipata muda sikiliza kibao cha paul Clement wimbo unaitwa "Mwaminifu" au Ambwene "Nimeachilia" huwa zinabariki flani hivi
Unajua Sija andika haya kutaka attention.. Nimeandika for the sake ya kuwaambia watu wasiwe wa rahisi wa kukata tamaa.

Mungu alishanivusha katika hayo nilopitia, na atanivusha endapo Nitapitia magumu mengine, life is full of hills and valleys
 
Najua Chiwawa ndio De gunner ambaye wanakuhusisha na wewe , sasa Chiwawa Sr bado sijamfahamu
Aisee, 🤣 ila wabongo bwana! Kwa hiyo jina la chiwawa kwa de Gunner limeshapita?
 
Uzi uliweza kunihuzuniasha kidogo

Sema ulipoquote neno la kijana kafa ana miaka 25 nimeona baleghe zinakusumbua kama yeye tu

Me nikajua na wewe ntu
 
Uzi uliweza kunihuzuniasha kidogo

Sema ulipoquote neno la kijana kafa ana miaka 25 nimeona baleghe zinakusumbua kama yeye tu

Me nikajua na wewe ntu
Ni wapi nimequote kijana kafa ana miaka 25? Or unazungumzia being suicidal?
 
.

Tupac alisema, "don't blame me, I was given this world, I did not make it"


Nawatakia weekend njema.
Huyu fala katangulia kuishi sema kafa msimbe tu hana maajabu

Ukinukuu QUOTE Hakikisha ntu aliyetoa angalau ni 40+
 
We Dogo mimi niko kwa Floo za mawinguni kabla huyo fala hajaexperience

Mimi nina experience ya maisha mbali na usimbe wake

Huyo Dogo mjeuri kama ni roli modo wako ni wewe kwako sio wote
Una mzungumzia nani?
Tupac au member wa jf?
 
Back
Top Bottom