Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)

Mapito hutujenga na si kutubomoa. (my story)

So una verify kuwa wewe ni mburura mtu mzima? Au?
😂😂 Nyanda !

Mbona unanipandishq cheo kutoka kwenye mjadala hadi kwenye matusi? Nimekuja kujadili hoja, sio kuomba cheti cha akili kutoka kwako🤣
 
😂😂 Nyanda !

Mbona unanipandishq cheo kutoka kwenye mjadala hadi kwenye matusi? Nimekuja kujadili hoja, sio kuomba cheti cha akili kutoka kwako🤣
Kujadili hoja? Au kuongea shit?

Acha kucheka cheka mwanaume wewe, watch your back
 
Making fun of others is another form of insanity.
😂😂 , So making fun of others is insanity, but calling someone mburura mtu mzima is intellectual discourse? Interesting! 🤣

Anyway, tuache personal attacks, turudi kwenye uzi wako ulouleta hapa
 
The Icebreaker weka neno, Kijana huwa anapenda nyuzi zake zitembee
Kijana ukimsoma tu kwenye nyuzi zake,unajua tu,maisha aliyo yapitia hata kabla ya huu uzi,mimi nilikua najua tu kuna aina fulani ya maisha aliyo yapitia ndio yamemfikisha hapa alipo na hivyo alivyo,na nilisha mwambia kwenye moja ya comments zangu kwenye nyuzi zake,

Kijana anaonekana ni mpweke sana,JF ndio sehemu pekee ana engage na watu.
 
😂😂 , So making fun of others is insanity, but calling someone mburura mtu mzima is intellectual discourse? Interesting! 🤣

Anyway, tuache personal attacks, turudi kwenye uzi wako ulouleta hapa
Nimesema hivyo kwasababu ya ukweli wa maneno yako uliyo ya andika wewe mwenyewe..

Umeonesha low level of maturity, yaani reasoning yako iko chini sana. Huna compassion kabisa, unakuwa jitu zima ovyo

Usikimbie ujinga wako mwenyewe, sleep on the bed you made
 
Never regret,

If its good,its wonderful,if its bad,its experience,

No amount of regret can change the past, and no amount of anxiety can change the future, but gratitude can change the present.
 
Kijana ukimsoma tu kwenye nyuzi zake,unajua tu,maisha aliyo yapitia hata kabla ya huu uzi,mimi nilikua najua tu kuna aina fulani ya maisha aliyo yapitia ndio yamemfikisha hapa alipo na hivyo alivyo,na nilisha mwambia kwenye moja ya comments zangu kwenye nyuzi zake,

Kijana anaonekana ni mpweke sana,JF ndio sehemu pekee ana engage na watu.
Binafsi, naweza kusema... Wewe ni wale watu wanapenda kuongea vitu without awareness.

Kwanini? Kwanza, unajua fika jf ni tuna hold account na ID feki, then huwa unajaribu ku categorize personal life's za watu into your own thinking.. Which is ridiculous.

Sasa, okay maybe maisha yangu yana revolve around jf, then how is that benefiting you? Au unapata faida gani kuongelea lifestyle ya mtu usiye mjua?

That's is insane na ujinga wa kimatumbi.

Live your life, changia kitu constructive usiwe kama a lay person
 
Never regret,

If its good,its wonderful,if its bad,its experience,

No amount of regret can change the past, and no amount of anxiety can change the future, but gratitude can change the present.
Hapo sawa.

We only get it looking backwards but life is to be lived looking forward
 
unajua fika jf ni tuna hold account na ID feki,
Pamoja na kwamba tunatumia ID fake ila kutumia ID fake hakufichi yaliyomo ndani ya nafsi zetu wala haiondoi uhalisia wa mtu,

So,far I know you very well,

Unaanzisha uzi kisha unabishana na kila comment,unabishana na kila mtu,ni kamavile unataka wachangiaji wote wachangie unachokitaka wewe au kile kinachokufurahisha wewe tu!

Huwezi kuwacontrol watu wala huwezi kushindana na forums,

The more you try co control something,the more it control you,

Free yourself,and let things take their own natural course,

People who feel the need to control others dont have control over themselves.
 
So,far I know you very well,
For how you write as if you know me, ndo unapokosea...

Sipingi watu mimi, ni wewe ndiye unaye dhani hivyo, ninacho pinga ni validity ya maandishi yao...

Mtu kuja na kusema kuwa ananifahamu based on my writings is insane... Ni jambo ambalo jamii isiyo elimika hufanya.

Mtu tutamjua based on kuishi naye, na kumjua physically.

In here, mtu anaweza kutumia hii platform as a place to heal, ila hayuko in that state physically, as someone above said, kuna watu wanabeba misalaba yao, ni vyema kuacha judgements na mocking. It is only bringing negative vibes na inaondoa core meaning behind the thread.
 
Nyanda !😂😂

Umeanza na regrets, trauma, addiction, depression, ukamalizia na lyrics za Tupac! Hii siyo weekend message tena, ni full documentary ya maisha yako yaliyopita 😂

But on a serious note, I respect the fact that pamoja na yote uliyopitia, bado upo hapa unasimulia story yako. Some battles are invisible, na si kila mtu anayekuwa kimya yuko okay

Asiione Mzee wa VAR hii 😄
manyanza ninakukubali kinouma wewe ni mtu mwenye busara na skillz nzuri za uandishi keep it up bro
 
For how you write as if you know me, ndo unapokosea...

Sipingi watu mimi, ni wewe ndiye unaye dhani hivyo, ninacho pinga ni validity ya maandishi yao...

Mtu kuja na kusema kuwa ananifahamu based on my writings is insane... Ni jambo ambalo jamii isiyo elimika hufanya.

Mtu tutamjua based on kuishi naye, na kumjua physically.

In here, mtu anaweza kutumia hii platform as a place to heal, ila hayuko in that state physically, as someone above said, kuna watu wanabeba misalaba yao, ni vyema kuacha judgements na mocking. It is only bringing negative vibes na inaondoa core meaning behind the thread.
that is life every one is fighting a battle wengine wanacheka lakini deep inside ni vita ambavyo Ni MUNGU tuu ndo tumaini kikubwa tuamini kuna MUNGU muweza wa yote atatushindia
 
that is life every one is fighting a battle wengine wanacheka lakini deep inside ni vita ambavyo Ni MUNGU tuu ndo tumaini kikubwa tuamini kuna MUNGU muweza wa yote atatushindia
Amen, life begins when you understand that God is in control
 
Back
Top Bottom