Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 7,491
- 12,597
Kilimanjaro wapewe maua yao kwa mtori mzuri asee, nimekaa tarakea kama miezi 6 hivi yule mama MUNGU ambariki sana 😃😃🙏
Lazma pakufurahishe.. si ndo kwenu.. ukitoka kule wanaopanga kuuza ndugu😂😂 kilio cha furaha.. nmefurahishwa upande wa central zone 🏃🏃
😂😂😂😂😂😂😂 hii ni kubwa…. Naomba niijibu PM… 😘 ilaaaa this time mwalimu tumepata 🤣🤣🤣🤣Lazma pakufurahishe.. si ndo kwenu.. ukitoka kule wanakopanga kuuza ndugu
Mimi pia, yani kuna harufu fulani hivi ya nyama iliyoiva sana ambayo huwa inanishindaMoja ya mlo ulionishinda...mtori
Hahaha, umenifanya nikumbuke ukienda soko la mabibo na hii mvua kuna tope si mchezo. Kuna wamama wapo pale getini kukuosha miguu sh. 200.Dsm kila kitu fursa.Na k wako akiwemo nae fakewatu wale hata miwa hawajui kumenya mpk wameletewa mashine, kuna sehemu nilienda kulikuwa na mvua nikashangaa kuona watu hawawezi kuvuka maji ya magoti mpaka wabebwe mgongoni
![]()
Mambo ya daslamHahaha, umenifanya nikumbuke ukienda soko la mabibo na hii mvua kuna tope si mchezo. Kuna wamama wapo pale getini kukuosha miguu sh. 200.Dsm kila kitu fursa.
viwili vikubwa.......so menya ndizi zako na uzikata mtindo wa kapicha hapo juu vipande vyembaba ,chemsha nyama hakikisha Ina soup ya kutosha,menya viazi kitunguu na nyanya pia viazi kata mtindo mwembamba.....Osha ndizi zako vizuri tia jikoni na maji kidogo.. tia nyama kama haikulainika sana usiweke soup toa nyama tu...weka kitunguu,nyanya ,mafuta sio lazima, tia viazi, tia chumvi kiasi,funika vichemke maji yakikaukia ongeza mpaka uhakikishe ndizi na viazi vimeiva......Anza kusonga kama unasonga ugali waweza tumia mpekecho....ongeza soup kidogo kidogo mpaka uimalizie yote mtori wako utakuwa tayari Kwa matumizi.....NiceKuna ndizi zinaitwa ndizi Uganda hizi ni nzuri zaidi......inategemea na wewe idadi ya watu wako ila hapa mahitaji :ndizi Uganda kichane 1,mafuta ya kupikia vijiko 5vya chakula siyo lazima,nyama Ikg yenye mifupa inayotoa soup....siyo nyama isiyotoa soup utachemka,chumvi kiasi,vitunguu maji 2vikubwa ,nyanya1kubwa........viazi burugwa au vya chips wakishua zaidi wanaita french friesviwili vikubwa.......so menya ndizi zako na uzikata mtindo wa kapicha hapo juu vipande vyembaba ,chemsha nyama hakikisha Ina soup ya kutosha,menya viazi kitunguu na nyanya pia viazi kata mtindo mwembamba.....Osha ndizi zako vizuri tia jikoni na maji kidogo.. tia nyama kama haikulainika sana usiweke soup toa nyama tu...weka kitunguu,nyanya ,mafuta sio lazima, tia viazi, tia chumvi kiasi,funika vichemke maji yakikaukia ongeza mpaka uhakikishe ndizi na viazi vimeiva......Anza kusonga kama unasonga ugali waweza tumia mpekecho....ongeza soup kidogo kidogo mpaka uimalizie yote mtori wako utakuwa tayari Kwa matumizi.....
Wazee wa kurahisisha maisha hawataki kabisa kusumbuka hata kisamvu wanablend tu kikipakuliwa waweza hisi uharo wa ng'ombe




Mtori wa kilimanjaro una pikwa na ndizi maalumu , nyama nyingi na magimbi lazima uwe mtamu.Kilimanjaro wapewe maua yao kwa mtori mzuri asee, nimekaa tarakea kama miezi 6 hivi yule mama MUNGU ambariki sana![]()
vitu vyenye sura mbaya ni vitamuuu kama naniiMtori una muonekano mbaya asee 😀