Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,069
- 184,789
Hayo maisha yaliyokukula kiboga ndiyo mimi sasa...Nipo mdogo wangu maisha yamenila kiboga😁😁😁😁!!
Thanks God all is well pande hii
Hayo maisha yaliyokukula kiboga ndiyo mimi sasa...Nipo mdogo wangu maisha yamenila kiboga😁😁😁😁!!
Thanks God all is well pande hii
😃😃Dah!Huu msisitizo maanake nini maana vijana siku hizi mnakua na ndimi mbili 🤔😂😂😂
Nimekumisi mno yaani 😎 😍Huu msisitizo maanake nini maana vijana siku hizi mnakua na ndimi mbili 🤔😂😂😂
I miss you too tajiri kigamboni. Supu ya mkia au ulimi??😂😂Nimekumisi mno yaani 😎 😍
Doh...hawakumfanyia postmortem? Doh .vifo hivi😭Wala hakuugua.
Alitoka kunywa pombe siku 3 kabla sikukuu ya Idd, kufika nyumbani akaanza kuumwa tumbo, usiku akawahishwa General hospital, hata hospital hakufika, akafia njiani.
Kaacha Discovery nyeusi 0.Km toka kiwandani na hizo 90M ambazo hakuna anayejua zaidi ya huyo rafiki na bank husika
Ila process ndefu sana.
Dah!Ndio mama yetu hajasoma sana sasa yeye ana sahin tu sasa siku akawasikia wanaongelea hiyo hela hela ilikuwa nyingi ila kwenyw account mama alingizia m7 tu hiyo nyingne waligawana na baada ya kufwatilia ni kweli kaka yetu mkubwa akasema potezeeni
Sikufuatilia tena, ila yaonekana aidha alilishwa sumu au alikunywa kinywaji kichafu au pia yawezekana alipata heart attack!Doh...hawakumfanyia postmortem? Doh .vifo hivi😭
Tushapoa hizo hela zilikuwa kweny account hakuna mtu anajua salio na isitoshwe hazina kuu nayo alikuwa anaidai wakamuwekea ili pesa ya mirathi itoke ila mahakama na bank ni marafiki sanaDah!
Jamani.
Poleni sana.
Ya ulimi 😎😎I miss you too tajiri kigamboni. Supu ya mkia au ulimi??😂😂
Hiii imetokea lini aiseeSikufuatilia tena, ila yaonekana aidha alilishwa sumu au alikunywa kinywaji kichafu au pia yawezekana alipata heart attack!
Gari ndio nasikia wanaliuza, pesa benki inafuatiliwa.
Ameacha mke na mtoto mmoja tu wa kike wa miaka 15.
Huyu baba alikuwa na ukwasi sana sana, sidhani kama kweli ana 90M benki, nahisi ana kiasi zaidi ila rafiki yake anamchezea mchezo mke wa marehemu.
Yeah, ni marafiki hasa wakiona nao watapata faida japo inatia uchungu.Tushapoa hizo hela zilikuwa kweny account hakuna mtu anajua salio na isitoshwe hazina kuu nayo alikuwa anaidai wakamuwekea ili pesa ya mirathi itoke ila mahakama na bank ni marafiki sana
Sisi mfwatiliaji alikuwa n mama tu wengi tulikuwa mkoani tuYeah, ni marafiki hasa wakiona nao watapata faida japo inatia uchungu.
Mimi marehemu baba alipofariki, nilijifunga kidete kufuatilia kuanzia bank, mitandao ya simu, Saccos, vyama vyao vya kazini (uzuri alikuwa na cheo hivo haikuwa ngumu sana)
Tunashukuru Mungu kwani baadhi ya wafanyakazi wenzake walikuwa nasi watoto wake bega kwa bega kwenye ufuatiliaji.
Hapo ndipo tulijua kuwa kumbe wazee wetu wana weka sana akiba kwa ajili ya watoto wao.
Tulikusanya mpaka shilingi kumi za kwenye akiba.
Alhamisi iliyopita.Hiii imetokea lini aisee
So sorry, ila nina imani mlipata hata hiko kilichobaki.Sisi mfwatiliaji alikuwa n mama tu wengi tulikuwa mkoani tu
Yah ilipatikanaSo sorry, ila nina imani mlipata hata hiko kilichobaki.
Mimi ilibidi nisimame kazi kidogo ili kufuatilia.
Uzuri kazini kwangu walikuwa na taarifa ya baba kuumwa na walikuwa wanakuja kumuona hvo nilipata urahisi flan hv ktk kuomba ruhusa.
😃😃😃 Pole sana au mayai ndio yalileta kichefuchefu au zile ndizi ningekuwa nimekupikia mie usingepata kichefuchefuNilipokua nasikia kuhusu biriani, nliwiwa mno kula, ila toka ile siku nile, sitaki tena hata.
Inatia kichefu chefu hatari, Lol
Sawa kaka.Yah ilipatikana
Hivi watu wanawezaje kwani kula biriani? Nimekula kdg tyuh, kichefu chefu hiki hapa.😃😃😃 Pole sana au mayai ndio yalileta kichefuchefu au zile ndizi ningekuwa nimekupikia mie usingepata kichefuchefu