Mapishi ya biriani

Mapishi ya biriani

Kwa sura upo kama mkate wa sembe
Lkn kuna unga wake special unapikiwa sijui unaitwa uwanga. Then unawekwa na spices na sukari yake inaunguzwa inakuwa brown. Then unapikwa kama pudding, yaani sufuria ndani ya sufuria ya maji. Kwa moto mdogo mdogo. Inakuwa kazi ya kuongeza maji tu kwenye sufuria ya nje. Sasa ile sauti inayotoka wakati unapikwa ndio hio gudugudu
Hio mikate sio aghlab kuiona inauzwa kama vitafunwa. Ni upishi wa ki Comoro
Safi sana.
Napendaga sana kujifunza vitu vipwa kama hv.
Siku nitautafuta ili niujue upoje
 
Dah!
Nauliza hivo maana huyu jamaa hapa aliyekufa inasemekana mwezi kama mmoja nyuma aliweka kama milioni 90 benki bila kumshirikisha mkewe.
Siku ya msiba rafiki wa marehemu ndio kama kuiambia familia yake.
Kwanza usubmit chet cha maZishi,chet cha kifo, muhtasar wa kikao kujua mrithi ni nan..unashinda mahakamani dadek kurudishqwa kila.mara.

Vip aliugua?hizo docs akikosa hata 1 imekula kwake
 
Uwe na muda.
Andaa kuku au nyama safi pembeni
Chukua mchele basmati loweka kwa viungo vyote vizima vya pilau pembeni.
(Nenda ukonga banana kule utapata wanasaga au vizima vyoote)
Vitunguu vingi karanga pembeni.
Yoghurt pembeni
Ghee pembeni
Safrani pkt 2 loweka kwenye maziwa au mafuta pembeni.
Koshmiri majani pembeni.
Kupika.
Anza na kuku karanga na Vitunguu zipate rangi Toa weka pembeni.
Toa mchele kwenye maji weka pembeni.
Vitunguu tena, swaumu, tangawizi,
Majani ya ndimu, na viungo vyote uliloekea mchele karanga pamoja.
Nyanya ukitaka,weka kuku humo na Yoghurt.
Toa anza na sufuria safi kuweka layers.
Mchele ulioloweka chini, sotojo lakuku juu, mchele tena sotojo juu mpaka viishe malizia na mchele.
Ghee mwagia juu, zafroni mwaga juu unaweza kuandika chochote alahu akibaru,mwajuma sikupendi unaniua,Abdul nitakufuma,shangazi nipe tako.
Chochote.
Mwagia kotmiri majani yale.
Vitunguu vile ulikaanga mwanzo
Funika sufuria lako kwa foil, bakin papper,kmoto juu au ukiwa na oven bake juu, chini
Moto mdoogo 110-120c,
nenda kanywe bia.
1 hr ukiipua kitu hicho.
Usikoroge.
NB.ni uwe na wageni 10 min siku hiyo.
Soda ziwepo,na juice zote
Mkila mkivimbiwa muende kwa sheikh kusoma surat al-jaanun makhbuh mlango wa tisa mje mnishukuru baadae.
Naongea km nabii issa au sheikh issa.
 
Kwanza usubmit chet cha maZishi,chet cha kifo, muhtasar wa kikao kujua mrithi ni nan..unashinda mahakamani dadek kurudishqwa kila.mara.

Vip aliugua?hizo docs akikosa hata 1 imekula kwake
Wala hakuugua.
Alitoka kunywa pombe siku 3 kabla sikukuu ya Idd, kufika nyumbani akaanza kuumwa tumbo, usiku akawahishwa General hospital, hata hospital hakufika, akafia njiani.
Kaacha Discovery nyeusi 0.Km toka kiwandani na hizo 90M ambazo hakuna anayejua zaidi ya huyo rafiki na bank husika

Ila process ndefu sana.
 
Walikula 10M?
Ndio mama yetu hajasoma sana sasa yeye ana sahin tu sasa siku akawasikia wanaongelea hiyo hela hela ilikuwa nyingi ila kwenyw account mama alingizia m7 tu hiyo nyingne waligawana na baada ya kufwatilia ni kweli kaka yetu mkubwa akasema potezeeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom