Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,685
Kitambo sana dada yangu kumbe upoUnavopenda biriani Sasa!!
Kitambo sana dada yangu kumbe upoUnavopenda biriani Sasa!!
Kiswahili kina mambo mengi...Weeeee akili zako mbili kasoro ujue !!!
Nipo mdogo wangu maisha yamenila kiboga😁😁😁😁!!Kitambo sana dada yangu kumbe upo
hii pizza nayo nimeijua juzi baada ya kununua nikidhani ni sambusa kubwa, ila pizza nilikuwa naisikia tu pamoja na burger kumbe ni jamii moja na maandazi, skonzi, mikate, chapati, mzigo wa kuni, visheti, keki na jamii zingine zinazopikwa kwa unga wa ngano. Tofauti ni miundo na vikorombwezo ila ni jamii moja ya vyakulaManeno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni pizza.
Kuna chakula kingine kina jina la ajabu kwelikweli nimekisahau jina nilikiona kwa mpishi wa jamiiforum ndugu yetu Mwachiluwi
Haya makitu bora tu ninywe supu ya kichwa cha ng'ombe 🤣🤣hii pizza nayo nimeijua juzi baada ya kununua nikidhani ni sambusa kubwa, ila pizza nilikuwa naisikia tu pamoja na burger kumbe ni jamii moja na maandazi, skonzi, mikate, chapati, mzigo wa kuni, visheti, keki na jamii zingine zinazopikwa kwa unga wa ngano. Tofauti ni miundo na vikorombwezo ila ni jamii moja ya vyakula
mbona niliuziwa chakula kimekaa mithili ya sambusa ila ni kikubwa na kina pembe nne ndani kuna yai la kuchemshwa na viungo kama kitunguu, hoho, kabeji, choroko nikauliza hii nini nikajibiwa ni pizza. Sasa hiyo kama chapati nayo ni pizza?Skonsi iliyowekwa nyama katikati inaitwa baga sio pizza ndugu.. pizza ni ile inayokua mifano wa chapati
Karibu sana jf dada yanguNipo mdogo wangu maisha yamenila kiboga😁😁😁😁!!
Thanks God all is well pande hii
Broccoli unaitia mwisho?Ongezea na Broccoli kidogo
Santo sana nimekaribiaKaribu sana jf dada yangu
Yah imekaa poa ila bado kwa mbaliOya Mwachiluwi njoo hapa lakini vipi hali imekaa sawa ?
Makange ioNimekisahau kuna siku ulikiposti mimi nikawa sikijui wewe na kina ephen_ mkawa mnanisahihisha
Exactly 💯 tamu sana yaani sana Broccoli nalipenda sana lile😎Broccoli unaitia mwisho?
Maana mvuke kidogo tu inaiva.
Wali maharagwe na mboga za majaniHapo kwenye maziwa toa weka mtindi.
Hiko chenye jani ni bay leaf, na ndugu zake akina star anise na wengineo.
Kuna viazi (si lazima)
Napenda kupambia ghee (aina ya samli)
Kuna giligilani
Kuna mchele wa pishori au basmat rice (naona huu kwenye biryani ndio unanoga zaidi)
Sahv watu wamestaarabika maana hawaweki marangirangi.
Na vingine vingi maana biriani kila mtu na umaliziaji wake.
Ila kama una njaa ya kufa, heri upike wali au pilau maana rost la biriani tu kulipika tu ni masaa 4 bado hujaandaa viungo vyake🙌🙌🙌.
Mwachiluwi ....leo Jumamosi tunakula nini?
Eheeh, hayohayoMakange io
Mimi nikila naharishaBirian inasifiwa sijawahi kuielewa,,,, siwezi kula zaidi ya vijiko vinne,,,, maviungo mengi sana, kiungulia chake sasa,,,, ! Nyama inakua laini mno pia
Siku utembee nyumbani uonjeeEheeh, hayohayo
Mbaya bn, sioni uzuri au sifa ya birian, watu wanasifia balaa,,,, kuna mtu kila wiki lazima aleMimi nikila naharisha
Mie pia ni mpenzi.Exactly 💯 tamu sana yaani sana Broccoli nalipenda sana lile😎
Tamu sana lileMbaya bn, sioni uzuri au sifa ya birian, watu wanasifia balaa,,,, kuna mtu kila wiki lazima ale