Mapishi ya biriani

Mapishi ya biriani

Vutunguu visited na rangi ya kuungua, vile brown light ndio biriani inakuwa na ladha nzuri. Hapo kwenye maziwa weka mtindi, kama wa Tanga fresh.
Hujaweka uwiano wa vipimo, mfano kilo moja ya mchele iwe kwa nyama kilo ngapi? Vitunguu maji iwe kilo ngapi? Tungule nazo, mbatata..n.k
Biriani nzuri ni ya nyama ndio ina taste ya soup
Biriani ni tamu sana 😋
 
Nilipika muda sana sijawai pika tena nikiwa chuo mwaka wa pili so nimesahu af nichakula ambacho kinaniletea effect kwasababu ya viungo that why sijakitilia manani
 
IMG-20250405-WA0005.jpg
 
Maneno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni burger

Kuna chakula kingine kina jina la ajabu kwelikweli nimekisahau jina nilikiona kwa mpishi wa jamiiforum ndugu yetu Mwachiluwi
Changamoto, Tekenya, kisamvu cha kopo.
 
Hapo kwenye maziwa toa weka mtindi.
Hiko chenye jani ni bay leaf, na ndugu zake akina star anise na wengineo.
Kuna viazi (si lazima)
Napenda kupambia ghee (aina ya samli)
Kuna giligilani
Kuna mchele wa pishori au basmat rice (naona huu kwenye biryani ndio unanoga zaidi)
Sahv watu wamestaarabika maana hawaweki marangirangi.
Na vingine vingi maana biriani kila mtu na umaliziaji wake.

Ila kama una njaa ya kufa, heri upike wali au pilau maana rost la biriani tu kulipika tu ni masaa 4 bado hujaandaa viungo vyake🙌🙌🙌.

Mwachiluwi ....leo Jumamosi tunakula nini?
Rosti la biriani unaweza kula nalo wali mweupe au ugali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom