Mapishi ya biriani

Mapishi ya biriani

Kwanza unaanza kukaanga vitungu kama unavyo kaanga chips mpaka viwe na rangi ya kuungua unavitoa unaweka pembeni

Unasaga nyanya nyanya ziwe nyingi sana
Uwe na maziwa
Af kuna kiungo cha birian ndani yake kuna jani
Binzari nyembamba
Mayai
Nyama kuku / mbuzi
Tomato pest

Madame B nisaidie kama kuna kitu nimesahau
Vutunguu visiwe na rangi ya kuungua, vile brown light ndio biriani inakuwa na ladha nzuri. Hapo kwenye maziwa weka mtindi, kama wa Tanga fresh.
Hujaweka uwiano wa vipimo, mfano kilo moja ya mchele iwe kwa nyama kilo ngapi? Vitunguu maji iwe kilo ngapi? Tungule nazo, mbatata..n.k
Biriani nzuri ni ya nyama ndio ina taste ya soup
 
Maneno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni burger


Kuna chakula kingine kina jina la ajabu kwelikweli nimekisahau jina nilikiona kwa mpishi wa jamiiforum ndugu yetu Mwachiluwi
Maajabu Kuna chakula kinaitwa MPALANGE 🤔
KUMBE MIMI BADO SIJALA KABISA MISOSI.
 
Exactly 💯 tamu sio powa afu kwenye Yale mambo yetu pendwa linasaidia sana aisee ulitie na hoho nyingi aisee
Hahahaha!
Napenda sana upishi wa chukuchuku.
BA32C85B-F9D0-49B2-8DFD-146EB66011A5.png
14EC8163-F341-45F3-A134-E313205B97D4.jpeg

Unaiweza hii? (Yai bichi)
F2F103BE-D144-4E8C-BAAD-A1971C73A7F6.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom