Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Soma historia ya nchi kama uingereza Mericani uholazi india china nchi hizo zote zilipitia katika mapinduzi ya kilimo, kama agrarian rev uingereza karna ya 16, green revolution china....kilomo ndokinacholeta chachu ya viwanda.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Mkuu BINAFSI nikushukuru kwa WAZO ZURI SANA.hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol
Lengo ni kuwaondoa hao wananchi wanaotegemea kilimo, wategemee viwanda (manufacturing).mkuu sasa ulitaka tuinvest kwenye nini kama wananchi asilimia yote hio wanategemea kilimo??
Yeah ...Soma historia ya nchi kama uingereza Mericani uholazi india china nchi hizo zote zilipitia katika mapinduzi ya kilimo, kama agrarian rev uingereza karna ya 16, green revolution china....kilomo ndokinacholeta chachu ya viwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda gani vitakua tegemez kwa wakulima?Lengo ni kuwaondoa hao wananchi wanaotegemea kilimo, wategemee viwanda (manufacturing).
Tuna watu wengi wanaolima, na hilo ni tatizo kubwa.
Unahitaji watu wengi kulima pamba au kutengeneza nguo na bidhaa zingine zitokanazo na pamba?
Sasa kuna maendeleo ya nchi bila kilimo imara ? Mbali kabisa na viwanda na biashara kilimo huleta Food Security ambayo ni ncha kubwa sana ya maendeleo,wewe utasemaje nchi zisitegemee kilimo ?Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Amen....Mkuu BINAFSI nikushukuru kwa WAZO ZURI SANA.
kama umepata fursa ya kutembea MIKOA kadhaa ya nchi yetu MUNGU ametubariki ARDHI yenye rutuba na MAJI ya kutosha.
Serikali ingeweka NGUVU kubwa katika kilimo na kukuza thamani ya MAZAO baada ya muda mfupi tungeweza kujenga flyovers kila mkoa na tungeweza kununua Ndege nzuri kwa fedha zetu wenyewe.
SIJAJUA vile viongozi wetu wanavyowaza,lakini naona katika KILIMO tungeweza kuwa na VIWANDA VINGI SANA.
MUNGU TUSAIDIE TUACHE SIASA TUFANYE UALISIA,AMENI.
Kutegemea kilimo maana yake siyo kuacha kulima. Maana yake ni sector gani ina part kubwa kwenye GDP?Sasa kuna maendeleo ya nchi bila kilimo imara ? Mbali kabisa na viwanda na biashara kilimo huleta Food Security ambayo ni ncha kubwa sana ya maendeleo,wewe utasemaje nchi zisitegemee kilimo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Facthello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol
Nakubaliana na wewe kiasi, lakini ukweli ni kwamba Tanzania bado ni nchi masikini hivyo tunahitaji sana kilimo hasa vijijini ili kuondoa utegemezi kwa Serikali. Viwanda huwa vinakuja lakini shughuli zake hufanywa sana na Middle Class ambao hupendelea kuajiri sana Skilled and Cheap labour. Uchumi wa watu wa mjini na vijijini hutofautiana sana hivyo kutumia kilimo nadhani ni njia rahisi ya kuinua per capita ya watu masikini kuliko viwanda ambavyo vinaleta maendeleo ya haraka lakini shughuli zake hufanywa na watu wachache.Kutegemea kilimo maana yake siyo kuacha kulima. Maana yake ni sector gani ina part kubwa kwenye GDP?
Nchi ambazo kilimo ni part kubwa kwenye GDP au kinaajiri watu wengi kuliko sector yeyote, nchi hiyo ni masikini.
Kwa hiyo industrialization maana yake ni kuondoa kilimo kama mtoa ajira mkuu au kama sehemu kubwa ya uchumi.
Hapo ndiyo utakapo pata maendeleo ya haraka.
Zile sera za kilimo kwanza zilipingwa sana na Chadema wakasema kipaumbele chao ni vita dhidi Ufisadi,matokeo yake na kwa mshangao wa wengi chama wakamuuzia Lowassa.Then serikali inge invest huko sio kununua ndege
maendeleo ya haraka!!?..unakimbilia wapi!!?..kutoka kilimo mpaka viwanda inachukua muda gani!!?..ukizingatia elimu ya wakulima wa tanzania!?..unalala angani nini ndo kisa unaota ndoto za ajabu...Kutegemea kilimo maana yake siyo kuacha kulima. Maana yake ni sector gani ina part kubwa kwenye GDP?
Nchi ambazo kilimo ni part kubwa kwenye GDP au kinaajiri watu wengi kuliko sector yeyote, nchi hiyo ni masikini.
Kwa hiyo industrialization maana yake ni kuondoa kilimo kama mtoa ajira mkuu au kama sehemu kubwa ya uchumi.
Hapo ndiyo utakapo pata maendeleo ya haraka.
Walishaivest umesahau kilimo kwanza?hello JF,