Kayombo alishinda kwa ujanja ujanja
Aliyeshika nafasi ya pili nakumbuka alikuwa anaitwa DEOGRATIUS MTUI inasemekana kuwa hiki kijamaa ndicho kilikuwa kishindi halisi lakini aliibiwa kura na Zitto kwa nia ya kumsaidia Mugurusi na Kayombo akapeta...
Alberto aliongoza mapinduzi ya kipuuzi akishirikiana na haka kajamaa basi nakumbuka tuliandamana.... Msando are you there? can you tell us what happened?
Historia ni nzuri sana. Nadhani wale tulioshiriki siasa za DARUSO tuandike ili kuweka kumbukumbu. Hata hivyo, mapinduzi yale mimi sikushiriki. Nilisimamishwa masomo kwa kudhani tu kuwa Zitto alishiriki.
Siyo siri, DARUSO inasaidia sana ku-shape viongozi, kinachotia uchungu viongozi wengi waliopitia DARUSO wako CCM na unajua what is happening there...ufisadi tu kwani umekumbuka nini mkuu?
Vijana wa chuo mna mambo sana. Nfanyia kazi hoja hii ya Zitto ya kuweka kumbukumbu kwa vijana wangu kisha nitarusha mkanda mzima hapa. Muda hautakuwa mrefu.
Kwa Kayombo hapo hausemi ukweli. Kayombo ni mtu wa Watawala. Na hata akigombea uchaguzi leo hii sitashangaa kama atajitokeza kwa tiketi ya CCM. Hawezi kujaribu kuwa against watawala. Naongea hivi kwa sababu ni mtu ambaye nimesoma naye o-level, A-level na hatimaye UDSM.Wewe mchokozi sana, mapinduzi yaliongozwa na akina Zitto, Ridhwan Kikwete, A.Msando na Omary Lyas
walikuwa wanasema tulishinda kijanja kijanja na hawakuwa na imani na ushindi wetu.
Kumbuka kabla ya Kayombo alikuwepo Rugemarila na kabla ya Ruge alikuwapo injinia mmoja, the war was engineers will never take over the DARUSO again!
Vita baridi au upinzani wa wahandisi na wasio wahandisi ( ambao tulikuwa tunawaita Mangwin) umekuwapo pale miaka mingi sana. cha ajabu hii vita iko mpaka level ya admistartion ya chuo.Utakumbuka walimu wa sociology, lawasa, FASS, Political science huwa hawapendi kabisa kuongozwa na wahandisi, na hii Luhanga alipata shida sana, mpaka kuliwa kichwa wakati anafanya degree ya sheria!
Leo hii Mkandala anafanya madudu hutawasikia wahadhiri wasio wahandisi wakipiga kelele sana!!...ni 'wao'
Back to the maada:
Nilikuwapo wakati kura zinahesabiwa za urais wa Kayombo, sikuona mchezo mchafu. Ila Ruge alimpa shavu Kayombo na hii ikawahudhi baadhi ya watu. na Ruge ndiye aliyesaini mikataba ya bodi ya mikopo hii watu wanayolia leo, sasa hii ikafanya hata Kayombo aliyekuwa supported na Ruge kuonekana kuwa atafuata nyayo zake tu! sasa hii sababu changanya na ule upinzani wa jadi wa maininjia na mangwin basi hapakukalika. Zitto akaenda kutokea bungeni na kuwa kuliongoza bunge la wanafunzi ambapo kupitishwa kwa mawaziri kulikuwa kasheshe pia.
Kayombo ni mhandisi yuko kiwanda cha chai Iringa nadhani ina future ana mpango agombee ubunge kule sijajua kwa chama gani
It was good days, memorable and from that generation today we have good politicians, I mean watu wanaojua siasa sio biashara, ukijua siasa tamu sana unaweza ukawapelekesha watu unavyotaka , na siasa ni hatari sana kama unapata viognozi wenye kujali maslahi yao, basi unaweza ukawapumbaza watu. Personally nimefanya kazi na Zito na Omar Lyas, Kizuri cha zito ambacho huwa nampa shavu, huwa anaquality ya kuangalia mbaaali sana, hili sina wasiwasi naye. Ridhwan nilijua tu alikuwa maneno mengi na misimamo, kama ya akina Zitto na nikajua labda atakuwa kiongozi mzuri, sijaona bado!! A. Msando is another 'animal' in politics sijui yuko wapi.
Our tactic of ushindi ilikuwa kila second year engineering anaenda na watu wawili kupiga kura, tukaenda kuwabembeleza sociology (you know) na haikuwa shida kwa B.com kuwa upande wetu... ule uchaguzi ushindi haukuwa rahisi, lakini kura hazikuchakachuliwa, ILIKUWA TU NI MBINU YA waliotaka kupindua kujitetea katika hilo. HALI ILIKUWA TETE
Marehemu Chachage ndio alituita kundi la serikali na wale waliotaka kutupindua kutusuluhisha na kuweka mambo asawa atleast. Ukweli Kayombo alikuwa na support ya administration si kwa ubaya.
Siyo siri, DARUSO inasaidia sana ku-shape viongozi, kinachotia uchungu viongozi wengi waliopitia DARUSO wako CCM na unajua what is happening there...ufisadi tu
kwani umekumbuka nini mkuu?
Historia ni nzuri sana. Nadhani wale tulioshiriki siasa za DARUSO tuandike ili kuweka kumbukumbu. Hata hivyo, mapinduzi yale mimi sikushiriki. Nilisimamishwa masomo kwa kudhani tu kuwa Zitto alishiriki.
Vijana wa chuo mna mambo sana. Nfanyia kazi hoja hii ya Zitto ya kuweka kumbukumbu kwa vijana wangu kisha nitarusha mkanda mzima hapa. Muda hautakuwa mrefu.
ZT kumbe upo bwana. Mambo vp? Kwanini Waberoya ktk comments zake huwa anamuinclude Ridhiwan kila mara? By the way we had a hot topic about you early this week but u didn't show up.......it's nice to hear from u again.
Mnaanza kujifunza ufisadi huko. Ndiyo maana mpaka leo mnajenga urafiki na mafisadi.
Kwa Kayombo hapo hausemi ukweli. Kayombo ni mtu wa Watawala. Na hata akigombea uchaguzi leo hii sitashangaa kama atajitokeza kwa tiketi ya CCM. Hawezi kujaribu kuwa against watawala. Naongea hivi kwa sababu ni mtu ambaye nimesoma naye o-level, A-level na hatimaye UDSM.
Wewe mchokozi sana, mapinduzi yaliongozwa na akina Zitto, Ridhwan Kikwete, A.Msando na Omary Lyas
walikuwa wanasema tulishinda kijanja kijanja na hawakuwa na imani na ushindi wetu.
Kumbuka kabla ya Kayombo alikuwepo Rugemarila na kabla ya Ruge alikuwapo injinia mmoja, the war was engineers will never take over the DARUSO again!
Vita baridi au upinzani wa wahandisi na wasio wahandisi ( ambao tulikuwa tunawaita Mangwin) umekuwapo pale miaka mingi sana. cha ajabu hii vita iko mpaka level ya admistartion ya chuo.Utakumbuka walimu wa sociology, lawasa, FASS, Political science huwa hawapendi kabisa kuongozwa na wahandisi, na hii Luhanga alipata shida sana, mpaka kuliwa kichwa wakati anafanya degree ya sheria!
Leo hii Mkandala anafanya madudu hutawasikia wahadhiri wasio wahandisi wakipiga kelele sana!!...ni 'wao'
Back to the maada:
Nilikuwapo wakati kura zinahesabiwa za urais wa Kayombo, sikuona mchezo mchafu. Ila Ruge alimpa shavu Kayombo na hii ikawahudhi baadhi ya watu. na Ruge ndiye aliyesaini mikataba ya bodi ya mikopo hii watu wanayolia leo, sasa hii ikafanya hata Kayombo aliyekuwa supported na Ruge kuonekana kuwa atafuata nyayo zake tu! sasa hii sababu changanya na ule upinzani wa jadi wa maininjia na mangwin basi hapakukalika. Zitto akaenda kutokea bungeni na kuwa kuliongoza bunge la wanafunzi ambapo kupitishwa kwa mawaziri kulikuwa kasheshe pia.
Kayombo ni mhandisi yuko kiwanda cha chai Iringa nadhani ina future ana mpango agombee ubunge kule sijajua kwa chama gani
It was good days, memorable and from that generation today we have good politicians, I mean watu wanaojua siasa sio biashara, ukijua siasa tamu sana unaweza ukawapelekesha watu unavyotaka , na siasa ni hatari sana kama unapata viognozi wenye kujali maslahi yao, basi unaweza ukawapumbaza watu. Personally nimefanya kazi na Zito na Omar Lyas, Kizuri cha zito ambacho huwa nampa shavu, huwa anaquality ya kuangalia mbaaali sana, hili sina wasiwasi naye. Ridhwan nilijua tu alikuwa maneno mengi na misimamo, kama ya akina Zitto na nikajua labda atakuwa kiongozi mzuri, sijaona bado!! A. Msando is another 'animal' in politics sijui yuko wapi.
Our tactic of ushindi ilikuwa kila second year engineering anaenda na watu wawili kupiga kura, tukaenda kuwabembeleza sociology (you know) na haikuwa shida kwa B.com kuwa upande wetu... ule uchaguzi ushindi haukuwa rahisi, lakini kura hazikuchakachuliwa, ILIKUWA TU NI MBINU YA waliotaka kupindua kujitetea katika hilo. HALI ILIKUWA TETE
Marehemu Chachage ndio alituita kundi la serikali na wale waliotaka kutupindua kutusuluhisha na kuweka mambo asawa atleast. Ukweli Kayombo alikuwa na support ya administration si kwa ubaya.
Siyo siri, DARUSO inasaidia sana ku-shape viongozi, kinachotia uchungu viongozi wengi waliopitia DARUSO wako CCM na unajua what is happening there...ufisadi tu
kwani umekumbuka nini mkuu?
Hapa ninamaana njema kabisa kama wewe ulivyoonyesha hapo. Kayombo kuwa ni mtu wa watawala na hayupo tayari kuona wanapingwa. Muulize mgomo uliyotokea wakati yupo Njombe sekondari.Kama unasema atagombea kwa njia ya CCM , ni wewe umesema! mimi sijui hilo na sijaona kama nimedanganya ,na ni haki yake kugombea kwa chama chochote kile kikiwamo changu nitakachoanzisha hivi karibuni! sijaona discussion hapa