nakubaliana nawe kuhusu swala la kiburi kama uliyasikiliza mahojiano yake na mtangazaji wa BBC utakijua kiburi cha JK. Yaani anatoa majibuHao unayoyasema ni ya ukweli kabisa, nina ndugu yangu yuko pale Magogoni anasema Watu wamemchoka Kikwete , mjeuri, kiburi na hajali mambo yanayoendelea Nchi akiambiwa anakuwa mkali. wafanyakazi wote Magogoni hawampendi wanataka leo kesho nguvu ya Umma imuondoe. Wanasema Kikwete yuko Magogoni kwa Maslai Binafsi sio Taifa
Ni kweli mtanzania yeyote mzalendo wakati huu ni lazima awe na njaa ya ukombozi wa nchii hii,tatizo watanzania tumejazwa woga wa kufanya mabadiliko,eti tutakosa amani,hivi kweli kuna amani saizi bila umeme,wafanyakazi wana amani kweli na mishahara midogo,wanafunzi wa vyuo je ama wale wakulima kule vijijini wana amani kweli saizi? stupid minds,WE HAVE TO GET RID OF THIS CORRUPT GOVERNMENT AND REGAIN OUR RESOURCES@najua unaipenda maana roho yako imejaa matumaini ya ukombozi, ila zilishapita nyingi km hizi, na hii itapita bila action, ngoja utaona.
Jamani mrudisheni mirembe huyu mtu atakuwa ametoroka bado hajapona.Wendawazimu ninyi mlinyonya wiki ngapi? Mtu aliyenyonya vizuri hawezi kufurahia machafuko. Mbona mnafikiri kwa kutumia kamasi?
kama rostam kaondoka, basi ameona kitu kikubwa sana, the guy was very comfortable hapa nchiniNguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Hii nchi ina usalama wa taifa wa kutosha tu, hakuna kitu kama hicho.
Reverend Masanilo,
Kuna mahali nilichangia kwenye thread aliyoianzisha mkandara leo alfajiri nikasema
Mkandara,
Hoja nzuri sana umetoa.Kama demokrasia ingekuwa universally beneficial kwa mataifa yote basi tungekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika.Kwa hali ilivyo sasa,ni kweli kuna kila Dalili kwamba Demokrasia imetushinda tunaifanyia majaribio tu bado tena kwa mbinu na mikakati ile iliyoshindwa
Kwa kweli hii dhana tuliyoletewa ya Demokrasia,imesababisha sisi kurudi nyuma.Hatuna tofauti na mfumo wa kisultani.Leo hii maamuzi magumu ya hayawezi kuchukuliwa kwa hoja ya kipuuzi kabisa mkuu wa nchi yupo nje ya nchi.Rais akiwa nje kuna VP na wengineo,katiba yenye maono ya demokrasia inasema hivyo.
Ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja utakaozuia fikra ili sisi wengine tusiopenda kuburuzwa tutumie nguvu za kimapinduzi kwa kusukumwa na uzalendo wetu tuchukue nchi tuongeze kidikteta lakini kizalendo.Tunahitaji utawala kama wa Gaddaffi,tunahitaji mfumo kama wa kagame na Hugo Chavez.tunahitaji mfumo kama wa Evo morales,kusema kweli na siogopi kusema Democracy does not Suit us.bado hatujajiandaa,hii ni imported vice ! ! !
Kama si kuitikia wito na kukubali kuburuzwa na mfumo wa kibeberu,leo hii ningekuwa kwenye kambi,milima ya mbali na au hata msituni kujiandaa kizalendo.Ningekuwa na sababu za kutosha ! ! ! Huwezi kuwa na demokrasia ya kweli kama wananchi wako ni maskini,wanasumbuliwa na maradhi na Ujinga....Huwezi kuwa na uongozi ambao ni zao la Demokrasia bila kuwa na msingi wa imani ya kisiasa,kiuchumi na kijamii katika kiungo cha uongozi na utawala (namaanisha ideology).
Leadership tuliyo nayo ni hadaa tu,sio kwa serikali tu hata kwa vyama vingine vya siasa.Tunapata pigo kubwa sana kwa ngumi iliyovaa gloves za demokrasia(Pseudo democracy).jaribu kufikiria na kutafakari juu ya mfumo wote wa vyama vya siasa Tanzania,jaribu kufuatilia mfululizo wa matukio kwenye vyama hivyo.Kila siku tunapiga hatua kuwasukuma vijana wazalendo kuingia kambini,milimani au misituni.kila dakika ambayo tunahubiri democracy na vijana wazalendo kweli kweli kwa nchi yao hawaoni uhalisia na matunda yatokanayo na dhana hiyo basi tunawatoa kwenye Demokrasia tunawapeleka misituni.
Haya yana Mwisho,kinachohitajika ni hatua za haraka zichukuliwe ama la basi yatatimia.Carl max,alisema...'A single step in the Revolutionary movement worths a Dozen programmes'
nyie ndio mliwarudisha magambaAcha kulalamika tumia kura yako
Wendawazimu ninyi mlinyonya wiki ngapi? Mtu aliyenyonya vizuri hawezi kufurahia machafuko. Mbona mnafikiri kwa kutumia kamasi?
So sad@nakubaliana nawe kuhusu swala la kiburi kama uliyasikiliza mahojiano yake na mtangazaji wa BBC utakijua kiburi cha JK. Yaani anatoa majibuya kihuni na kijeuri kwa maswali mazuri na maana na anajua fika kiu ta watanzania kwenye swala la umeme lakini anajibu kiuni kama vile "serikali haina uwezo wa kuleta mvua" huku akijua wazi kuwa tatizo hili ni la muda mrefu na wataalamu wengi wamekuwa wakipiga makelele kwa miakamingi kuachana na umeme wa kutegemea mvua na hata alipopewa suggestions zinginena mtangazaji kuhusu jua alisema "kachukue hilo juauzalishe umeme kama utaweza" na "asifananishe kununua mitambo kama kununua koti ulilovaa" yaani ni majibu ya kishenzi ambayo utegemei yatolewe na mtu anayejiita Rais.
Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni.
Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
nakubaliana nawe kuhusu swala la kiburi kama uliyasikiliza mahojiano yake na mtangazaji wa BBC utakijua kiburi cha JK. Yaani anatoa majibu
ya kihuni na kijeuri kwa maswali mazuri na maana na anajua fika kiu ta watanzania kwenye swala la umeme lakini anajibu kiuni kama vile "serikali haina uwezo wa kuleta mvua" huku akijua wazi kuwa tatizo hili ni la muda mrefu na wataalamu wengi wamekuwa wakipiga makelele kwa miaka
mingi kuachana na umeme wa kutegemea mvua na hata alipopewa suggestions zinginena mtangazaji kuhusu jua alisema "kachukue hilo jua
uzalishe umeme kama utaweza" na "asifananishe kununua mitambo kama kununua koti ulilovaa" yaani ni majibu ya kishenzi ambayo utegemei yatolewe na mtu anayejiita Rais.
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
najua unaipenda maana roho yako imejaa matumaini ya ukombozi, ila zilishapita nyingi km hizi, na hii itapita bila action, ngoja utaona.