Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
poa mkenyaUbavu wa kuleta mapinduzi nyie hamna na Wabongo waliyo wengi hawana. Ukweli ndiyo huo. Nyie endeleeni kupiga domo na kupongezana kwa kauli hewa, ilhali mkijua wote ni waoga wakubwa.
hahhaha...ni genius kwa sababu watu wanamtukana na amekaa kimya? niambie ni nchi gani ya kidemokrasia Rais akifanyiwa hivi(kuambiwa ukweli) anauwa wananchi wake.. ukweli ni kuwa hiyo nchi haipo hapa duniani.. kwa hiyo point yako hai exist kabisaSiku uwezo wake ukishuka hata kufikia level za wale wahuni pale kinondoni, mtajua serikali nini. Huyu ni genius hajapata kutokea kiongozi mahili baada ya Nyerere kama JK, ni kwa busara yake tu hadi leo mnaweza kuendelea kumtukana, ila Mungu anawaumbua kila siku, na ninyi mnalifahamu hilo.
poa mkenya
hahhaha...ni genius kwa sababu watu wanamtukana na amekaa kimya? niambie ni nchi gani ya kidemokrasia Rais akifanyiwa hivi(kuambiwa ukweli) anauwa wananchi wake.. ukweli ni kuwa hiyo nchi haipo hapa duniani.. kwa hiyo point yako hai exist kabisa
Siku uwezo wake ukishuka hata kufikia level za wale wahuni pale kinondoni, mtajua serikali nini. Huyu ni genius hajapata kutokea kiongozi mahili baada ya Nyerere kama JK, ni kwa busara yake tu hadi leo mnaweza kuendelea kumtukana, ila Mungu anawaumbua kila siku, na ninyi mnalifahamu hilo.
Mabadiliko ya kweli hayaletwi kwenye social networks.
Watu tunaongea tu bila kuchukua hatua, tunalaumu na kukosoa bila kutoa nia mbadala.
Tunahitaji hatua za ziada ili kuyaende mabadiliko.
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.
Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni.
Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.

Siku uwezo wake ukishuka hata kufikia level za wale wahuni pale kinondoni, mtajua serikali nini. Huyu ni genius hajapata kutokea kiongozi mahili baada ya Nyerere kama JK, ni kwa busara yake tu hadi leo mnaweza kuendelea kumtukana, ila Mungu anawaumbua kila siku, na ninyi mnalifahamu hilo.
Hapo kwenye red,huyu ni mmoja wapo waliosemwa na kada wa CCJ kuwa wanafikiri kwa kutumia matumbo yao kama sikosei.

kila kitu kina mwanzo wake...na mwanzo wa watz kufanya mapinduzi ya kuun'goa uongozi usiowatumikia na kuwaletea hali ngumu zaidi za maisha ni sasa. kuna kila dalili kuwa bado kidogo tu, mapinduzi yanatokea tz....tuwe tayari

jamani tuingie barabarani this is toooooo much tufunge njia zote kwa magari,baiskeli,pikipiki hakuna mtu kwenda kazini.

Enough...........!!!!!