Mapinduzi ya trl, ni kushindwa kwa serikali?

Jahom

JF-Expert Member
Aug 26, 2008
351
32
Ni kweli wahindi wameshindwa kazi. Lakini kwa nini imefikia hatua serikali yetu kushindwa kutoa maamuzi mbadala mpaka nguvu ya umma inatumika? Inasita kitu gani wakati kila kitu kiko wazi? Kwa mtazamo wangu wahindi daima hawafai kwenye nchi kwa kuwa mikenge yooote inayoleta shida nchini ni wao. Idd amin was rite! Sorry for that!
 
Tatizo ni mlolongo wa urasimu kabla ya uamuzi wa mwisho. Mbona City Water iliwezekana ghafla?
 
obwe la uongozi infact hakuna Serikali makini. Unategemea nini toka kwa JK, Pinda, akina Makongoro Mahanga watu bure kabisa hawa.
 
Back
Top Bottom