Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,429
- 36,606
Sijui mtu anayewasimamia huwa haangalii hayo mapungufuWaandishi wengi wa Azam hawajui kiingereza.
Ukitaka kuliamini hilo, tazama na usikilize wanapokua wanawahoji makocha wanaotumia lugha ya kiingereza, yaani unaweza kucheka
Nikweli,wote hatujui ila lazima ujipange na ufanyie utafiti mahitaji ya kazi yakoKidhungu ni noma
Nikweli ila kama unaipenda kazi yako utajifundisha mahitaji ya kazi yakoHao waandishi mnawaonea tu. Yai si la mchezo mchezo
Nikweli siyo lugha yetu,ila lazima kila kitu ujifundishe hata kwa kukariri maswali ya msingi,kupata ajira ni suala lingine na kujibidiisha kwa kazi uliyonayo nijambo lingineKiingereza ni lugha ya wenzetu....kuijua vyema inahitaji JITIHADA KUBWA.....
Sasa ndio vijana wenzetu walio wengi...wasiajiriwe?!!
Unashangaa waandishi wa habari mbona hatushangai wanasheria waliosemwa wanamaliza vyuo vikuu huku wakiwa HAWALIJUI YAI VYEMA?!!!
Lwandamina amekaa Tanzania muda mrefu bado hajui kiswahili?Nikweli siyo lugha yetu,ila lazima kila kitu ujifundishe hata kwa kukariri maswali ya msingi,kupata ajira ni suala lingine na kujibidiisha kwa kazi uliyonayo nijambo lingine
Waandishi wengi wa Azam hawajui kiingereza.
Ukitaka kuliamini hilo, tazama na usikilize wanapokua wanawahoji makocha wanaotumia lugha ya kiingereza, yaani unaweza kucheka
kocha wa leeds hajui kingereza hadi leo anatumia mtafasiri wakati wamahojianoKwa nini tusiwe kama Uingereza?
Kocha au mchezaji ukisajiliwa Tanzania lazima ujifunze kiswahili.
England hakuna kocha au mchezaji anayehojiwa kwa lugha yake, lugha ni moja tu, English.
Acheni Ulimbukeni nyie pimbi. Kwani mmeambiwa Azam anarusha Matangazo kwa Kiingereza???Waandishi wengi wa Azam hawajui kiingereza.
Ukitaka kuliamini hilo, tazama na usikilize wanapokua wanawahoji makocha wanaotumia lugha ya kiingereza, yaani unaweza kucheka
Hakuna sehemu nimesema hawana ubora,ila wanatia aibu kutoifanyia utafiti wa mahitaji ya kazi yaoKutojua kingereza sio kosa na haliondoshi ubora wa mtu wa kazi yake.