naona wanataka kutujibu AZAM FOOTBALL CLUB mabingwa wa tanzania....!?
sio mbaya huo ndio wivu wa kimichezo sio kama wakongwe SIMBA na YANGA baraka ya majungu tu.
ila mwakani tutanunua ndege kama TP MAZEMBE..
Inawezekana kabisa, tukiacha siasa mpiraninatamani kila mkoa uwe na timu kama hii
very true, najua hapa unayemkusudia
mwanza ndi hakuna kitu siasa ndio zimetawala jiji halina timu hata 1,ona tanga ona mbeya
amkenu wana mwanza
Ndanda inafuata nyayo, nawasihi wabanane na makampuni ya gesi
ndanda sidhani labda stendi..