MAPIGO: Mbeya City yaagiza ‘ndege ya chini’

Safii sana, turudi kama zamani kila mkoa uwe na timu inayoleta ushindani wa kweli. Mbeya City mkakati wa kwanza nawasihi wajitahidi kuwaretain wachezaji wake nyota wasirubuniwe na simba au yanga. Pili, waweke kipaumbele kwenye kuibua na kunyanyua vipaji vipya hasa under 21, 20 na 17. Wakifanya hivi, watakuwa tishio kwa muda mrefu ujao.
 
umeona eee kwa kweli wenzetu wa mbeya wanawakilishwa na rangi ya purple, huwa naziona canter zina rangi ya purple bila shaka zinatoka mkoa wa mbeya

zinavutia wakulima wa viazi mkuu
 
Safii sana, turudi kama zamani kila mkoa uwe na timu inayoleta ushindani wa kweli. Mbeya City mkakati wa kwanza nawasihi wajitahidi kuwaretain wachezaji wake nyota wasirubuniwe na simba au yanga. Pili, waweke kipaumbele kwenye kuibua na kunyanyua vipaji vipya hasa under 21, 20 na 17. Wakifanya hivi, watakuwa tishio kwa muda mrefu ujao.
huwa sielewi sana yale mashindano ya Taifa Cup, yangetusaidia sana kwa hili
 
Ndanda fc nayo inakuja sasa hawako mbali wanajipanga kila mkoa wakiwa na timu kama mcc mbona mpira wa tanzania utakuwa juu sana hongereni mcc

Ndanda nayo tunaitengenezea miundo mbinu ije kuleta ushindani wa kwel
 
Back
Top Bottom