Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,218
- 5,897
mhhhhhhhhh!ISLAMIC is a religion of PEACE.
mhhhhhhhhh!ISLAMIC is a religion of PEACE.
Hahahaaaaaaa! Kuchinja kwetu ibada,kuhiji ibada,kujilipua ibada,kutokomeza dini nyingine kwa kuua ibada na KUTWANGANA SISI WENYEWE IBADA kwetu tuacheni jamani
Wewe kauzu kaa kimya huyo alioleta hii habari ni kiongozi wa Chadema Arusha uzuri wa JF tunafahamiana kwa ID zetu.
Wewe kauzu kaa kimya huyo alioleta hii habari ni kiongozi wa Chadema Arusha uzuri wa JF tunafahamiana kwa ID zetu.
usijifanye kuiga lugha ambayo huijui hata maana yake .Takkbirrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!! Alwakubar!
Waache wachapane tumechoka.....
Leo babu alikuwa wapi na sera yetu ya gongo?
Hivi kwanini hizo sera zake za ajabu ajabu huwa hazianzii Arusha wanawatoa Kafara watu wa mikoa mingine..?
Ila Watanzania wameamka kwa sasa huwezi amini...!
Anachanganywa na yule Dadaangu mpaka anafikia kuropoka ropoka tu sasa,
Mmaaweee.......
"Ndio.. eeh.. ndio.. na mi nasema wapigwe tu.. maana tumechoka sasa.. kila siku ubwabwa ubwabwa.. wapigwe tu.. huwezi kung'ang'ania ubwabwa tukakuangalia tu.. nasema tena wapigwe, tena kwa mawe"
Hahahah!!
Just kidding jamani.. Amani ndio kila kitu!!
Kaeni msuluhishane!
Teh teh teh unauliza senene Kemondo?
Siyo gongo mradi wa Chadema.itakuwa wanagombania ubwabwa hawa.
We ni ------,ndo usenge gan huo umeropoka?
Tusubiri alete naye atakutana na bayana zangu.Kwaiyo angeleta kiongozi wa KAFU je?
Polisi wawapelekee Bunduki, Bakora na mabomu ili wauane.