Aisee JK amepatwa na mambo makubwa katika historia ya viongozi wa nchi hii, ametengeneza vacuum sasa nature ina take cover, hii ni dalili ya udhaifu katika uongozi, sasa hili ni fundisho kwa wale wote waliokuwa wanaungana na ccm kusema vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani, hii kwa kweki ni aibu kwa serikali yetu na ni jambi la kusikitisha sana. Sitashnagaa kutosikia serikali ikitoa tamko lolote kufuatia tukio hili la aina yake hapa Dar, pia nadhani itakuwa fundisho kwa hao wanaotumwa na kutekeleza udhalimu kwa maslahi finyu ya muda mfupi. siku nyingine watapima kwanza kabla ya kuingia kichwaX2.