Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,223
Jangwa tayari......
......Kiteto mbioni kuwa jangwa
Sitaki kupingana na wewe ila ume generalize mno, kasulu hakuna mahali popote penye pori lisilo na mwenyewe, nitajie kijijiSwala la matumizi ya ARDHI hapa kwetu bado ni kitendawili. Bila serekale kuchukua hatua za makusudi kuweka mipango ya matumizi bora ya ARDHI migogoro haitakwisha! Tunaweza kuwaona wafugaji ni wakorofi kumbe hata wakulima wenyewe nao ndo wakotofi. Mara nyingi wafugaji wanapohamia mikoa fulani huenda kukaa ndani kabisa ambako hata wakulima walikuwa hawana habari napo. Hapa nazungumzia uzoefu wangu wa maeneo ya KASULU, Mpanda, Ulanga, Kilombero na Urambo. Kuna vijiji vingi vimeanzishwa na wafugaji matokeo yake wakulima waliamua nao kuhamia huko na kuanzisha vijishamba vyao, huu kwangu ni ukorofi! Kama yunavyofahamu Wasukuma ni agropastoralists wakifika mahali kama kuna ARDHI na mvua basi tegemea mavuno ya hatari kabisa, sasa hii imekuwa ikiwachochea wakulima kuwafuata Wasukuma huko waliko na kuanzisha vijishamba! Serikali iwasaidie wafugaji kuweka mipango ya matumizi bora ya ARDHI. Mkulima asiruhusiwe kuingia kwenye eneo la machunga na mfugaji asiruhusiwe kuingiza MIFUGO kwenye eneo la KILIMO. Ng'ombe akikutwa huko ataifishwe na serikali na kupelekwa kwenye ranch za Taifa "kama mbwai na iwe mbwai" mkulima naye akikutwa kule tumkute Ukonga, Keko, Segerea, Butimba au Kisongo!
You might be having a point but this won't make a permanent solution. We need more than that! How? Let us debate. (mimi naishia hapa, sitachangia possible solution)Swala la matumizi ya ARDHI hapa kwetu bado ni kitendawili. Bila serekale kuchukua hatua za makusudi kuweka mipango ya matumizi bora ya ARDHI migogoro haitakwisha! Tunaweza kuwaona wafugaji ni wakorofi kumbe hata wakulima wenyewe nao ndo wakotofi. Mara nyingi wafugaji wanapohamia mikoa fulani huenda kukaa ndani kabisa ambako hata wakulima walikuwa hawana habari napo. Hapa nazungumzia uzoefu wangu wa maeneo ya KASULU, Mpanda, Ulanga, Kilombero na Urambo. Kuna vijiji vingi vimeanzishwa na wafugaji matokeo yake wakulima waliamua nao kuhamia huko na kuanzisha vijishamba vyao, huu kwangu ni ukorofi! Kama yunavyofahamu Wasukuma ni agropastoralists wakifika mahali kama kuna ARDHI na mvua basi tegemea mavuno ya hatari kabisa, sasa hii imekuwa ikiwachochea wakulima kuwafuata Wasukuma huko waliko na kuanzisha vijishamba! Serikali iwasaidie wafugaji kuweka mipango ya matumizi bora ya ARDHI. Mkulima asiruhusiwe kuingia kwenye eneo la machunga na mfugaji asiruhusiwe kuingiza MIFUGO kwenye eneo la KILIMO. Ng'ombe akikutwa huko ataifishwe na serikali na kupelekwa kwenye ranch za Taifa "kama mbwai na iwe mbwai" mkulima naye akikutwa kule tumkute Ukonga, Keko, Segerea, Butimba au Kisongo!
How then can we debate kama huchangii unaishia hapo? Mipango ya matumizi bora ya ARDHI ndiyo suluhisho kuna ushahidi kule Kiteto ambako kuna ARDHI imesajiliwa kwa ajili ya wafugaji na kwa kiasi kikubwa imepunguza sana misuguano kati ya wakulima na wafugaji! Kama nakumbuka vizuri inaitwa OLENGAPA ni muungano wa vijiji kama 6 hivi vya wafugaji! Bila kuigawa ARDHI tutaendelea kupigana kila siku!You might be having a point but this won't make a permanent solution. We need more than that! How? Let us debate. (mimi naishia hapa, sitachangia possible solution)
Mkuu unafahamu kijiji cha Malalo kilianzaje? Unafahamu Asante Nyerere kilianzaje? Pale Basanza Wasukuma wameenda kukaa 26 km kutoka kijiji cha wakulima lakini Waha wamewafuata mpaka huko ndani baada ya kuwaona Wasukuma wanafuga na kulima mpunga! Hivyo ni vichache nilivyokutajia!Sitaki kupingana na wewe ila ume generalize mno, kasulu hakuna mahali popote penye pori lisilo na mwenyewe, nitajie kijiji
Shauri ya wakulima maana Wamasai ni rafiki wa miti! Na hawa wanaofyeka ni wahamiaji!......
......Kiteto mbioni kuwa jangwa
Hiyo ni solution mojawapo. Tunaanzia na kutenga kama unavyosema. Lakini ngombe/mifugo ni mingi sana. Ardhi isipotosha tunafanyaje? Kupunguza mifugo???? Wafugaji hilo hawataki kulisikia!How then can we debate kama huchangii unaishia hapo? Mipango ya matumizi bora ya ARDHI ndiyo suluhisho kuna ushahidi kule Kiteto ambako kuna ARDHI imesajiliwa kwa ajili ya wafugaji na kwa kiasi kikubwa imepunguza sana misuguano kati ya wakulima na wafugaji! Kama nakumbuka vizuri inaitwa OLENGAPA ni muungano wa vijiji kama 6 hivi vya wafugaji! Bila kuigawa ARDHI tutaendelea kupigana kila siku!
Asante nyerere ilikuwa general land, ilipimwa mashamba 400 yenye ekari 100 kwa plot na kugawiwa kwa wananchi nao wakasajiri ushirika wao, basanza ndo kijiji rasmi na kwa sasa hakina pori na wamepungukiwa ardhi kuyokana na ongezeko la watu, mzindakaya alipokuwa rc alianzisha vijiji vingi akihimiza Kilimo cha kufa na kuponaMkuu unafahamu kijiji cha Malalo kilianzaje? Unafahamu Asante Nyerere kilianzaje? Pale Basanza Wasukuma wameenda kukaa 26 km kutoka kijiji cha wakulima lakini Waha wamewafuata mpaka huko ndani baada ya kuwaona Wasukuma wanafuga na kulima mpunga! Hivyo ni vichache nilivyokutajia!