Mapigano makali nje ya Ikulu Sudani ya Kusini

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Kumetokea mapigano makali nje ya kasri ya rais wa Sudan ya Kusini,
Mpaka sasa kuna sintofahau chanzo cha mapigano hayo,

Rais Salva na VP Riek wote wako ndani ya ikulu

Mawasiliano ya simu yamekatwa nchi nzima,
 
dadeki,sasa salva na mwenzie huko ndan hawazchapi na wao kweli?
 
Mimi nashauri AU iwaondoe wote wawili madarakani halafu watafutwe na kusimikwa viongozi wapya kabisa wasiotokana na makabila ya hao jamaa.
 
Yani kiir hawez kufanya kazi na dr.machar kinyume chake ni kweli.nchi za afrika zina shida,wamepata uhuru juzi tu lakin kila mtu anajidai mbabe.wote hawafai.haibu kwao.
 
That is Vita visikilizie mbali usiombe ukaona kwa macho.wapatanishwe hao na waombewe sana.mungu awasaidie.
 
simu zote zimezimwa. wewe umepataje habari?
Mambo ya WiFi toka state house
894074ce39d34ef26b64e2aebcf007c8.jpg
 
South Sudan haikupata uhuru kwa manufaa ya weusi lakini kwa manufaa ya wamarekani ili wapate yale mafuta ,maana warabu wa kaskazini walikataa kuyatoa.Ndio wakashinikiza weusi wa kusini kwa kumtumia kibaraka John Garang ili wajitenge halafu mafuta wachimbe bure.Sasa wao wamerudi kupigana kati yao kuhusu nani apate angalau hata kidogo ,ila kuhusu nani atakaechimba hayo mafuta mkataba upo tangu mianka mingi sana .Poor africans na uchu wa madaraka
 
Kumetokea mapigano makali nje ya kasri ya rais wa Sudan ya Kusini,
Mpaka sasa kuna sintofahau chanzo cha mapigano hayo,

Rais Salva na VP Riek wote wako ndani ya ikulu

Mawasiliano ya simu yamekatwa nchi nzima,
Miafrica! Mieusi shida tupu
 
South Sudan haikupata uhuru kwa manufaa ya weusi lakini kwa manufaa ya wamarekani ili wapate yale mafuta ,maana warabu wa kaskazini walikataa kuyatoa.Ndio wakashinikiza weusi wa kusini kwa kumtumia kibaraka John Garang ili wajitenge halafu mafuta wachimbe bure.Sasa wao wamerudi kupigana kati yao kuhusu nani apate angalau hata kidogo ,ila kuhusu nani atakaechimba hayo mafuta mkataba upo tangu mianka mingi sana .Poor africans na uchu wa madaraka
Mpigaji mkubwa wa mafuta ni mchina
 
Yale yale ya kijana wngu Trump mgombea urais wa marekani maneno yke Africa bado kujitawala tunaitaji kutawaliwa congo jamaa hataki kutoka Angola jamaa kampa bint yke shirika la mafuta la taifa kwetu kuna lugumi epa Richmond nk bora waje watutawale
 
Mimi nashauri AU iwaondoe wote wawili madarakani halafu watafutwe na kusimikwa viongozi wapya kabisa wasiotokana na makabila ya hao jamaa.

Watapigana tena. Kila kabila linataka kuweka mtu wake madarakani.

Vita ya ukabila au udini haijawahi kuisha. Kwasababu kila upande unataka upate kile ambacho upande mwingine wanacho au wanataka.
 
Back
Top Bottom