Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Nakubwa zaidi assasination ya IRAN Haijaifanya IRAN Kuanguka wala Kuyumba Kisiasa Kijeshi wala Kiuchumi Ila Kumewafanya Kuwaonesha wamarekani navibaraka wao kwamba wairan niwamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Si umeuliza US alifanya nini na nimekujibu! Wewe muiran wa buza uelewi kitu ila wairan wa Tehran wanaeliwa kifo cha soleimani kilivyowatikisa kiasi cha kugharimu maisha ya wairan wengine zaidi ya 50 waombolezaji. Ila cha msingi nimekujibu swali lako kwamba urusi hakufanya kitu ila US aliua Mtu mashuhuli namba mbili Iran na ambaye pia alikuwa ndo master plan wa mission kibao dhidi ya US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

UnaniQuote kuhusu hoja gani labda?! au unafikiri hapa tulingishiana!!
Mimi nimejibu swali nililoulizwa Marekani alifanya nini? Jibu aliua soleimani. Sasa mambo ya ushirikiano wa Iran na urusi yanatoka wapi hapa?! Kama kushirikiana hata Russia na US hushirikiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mahaba yamekuzidi mpaka unaongea uongo uliojaa pumba,yaani ndege ya Uturuki iendeshwe na Rubani was Kimarekani? Hii ni kali ya 2020,na sijui hii habari umeitoa wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Kweli mahaba yamekuzidi mpaka unaongea uongo uliojaa pumba,yaani ndege ya Uturuki iendeshwe na Rubani was Kimarekani? Hii ni kali ya 2020,na sijui hii habari umeitoa wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Look, I am not an average Joe - if your warped analytical mind still thinks Turkey had a lot to gain by downing a Russian Bomber, I suggest you should have your head exaimed, the soonest the better.
 
Baada ya Kuuliwa Soleiman IRAN Ilifanya nn ?!

Baada ya Kupigwa Kambi Zao US walifanya Nn Ukiachana na Kuufyata ?!


US =PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku wa kuamkia hii leo Uturuki imeripotiwa kuingiza takribani magari ya kijeshi 170 nchini Syria na mpaka kufikia hivi sasa inadaiwa kuwa zana hizo vikiwemo vifaru zaidi ya 100 zimekwisha fikia zaidi ya 400.

Magari ya kijeshi ya Uturuki yametapakaa mjini Idlib pamoja na vijiji vya karibu kwa ajili ya counter-offensive kwa majeshi ya Assad muda wowote.

Hii convoy ya Uturuki iliyoingia ni kubwa sana. Wizara ya ulinzi ya Uturuki inasema imejipanga kisawasawa na shambulizi lolote dhidi yao kutoka kwa majeshi ya Assad litajibiwa ipasavyo.


 
Uturuki anajaribu kumzuia Assada asiiteke Idlib.
Uwezo wa kumzuia Assad anao (Kama akitaka).
 
Jitaarisheni msiba mwengine kama alivyofanyiwa marekani Iraq na Ayatullah soon, msije mkakimbia uzi kama mlivyokimbia wakati Marekani alivyochezea kichapo huko Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taari kuna vijiji leo jumanosi Syria ameviramba huko, jitaarishe kisaikologia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki anajaribu kumzuia Assada asiiteke Idlib.
Uwezo wa kumzuia Assad anao (Kama akitaka).
Sio asiiteke asiikomboe maana idlib ni sehemu halali ya ardhi ya syria

Ohooo kwahio kama asipotaka hawezi ama


Nikwamba jamaa wanajipapatua 2 ila hawana madhara saaana maana wanajua litakaloenda kuwakumba ikitokea wataingia vitani na SYRIA.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turkey ameingia kichwa kichwa huko Idlib ndipo atawakuta Mmarekani, Syria na Russia wamekaa pamoka wakigonga kashata na kahawa huku wakicheza bao. Maana Marekani, Syria na Russia wapo nyuma ya harakati za Wakurdi huku Iran na Turkey wakipinga.
Huu mvutano unakwenda kuwaunganisha Iran na Turkey huku ukiwatenganisha Syria na Iran.
Dah, hapo middle east is a place to be kwa kweli na panafaa kwa honey moon or some retreat visits.
Maana unaona kabisa kwamba likiisha hili litasunuka lile.
 
sasa mbona siku hizi mapigano yametulia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…