Mapigano dhidi yako mwenyewe πŸ’ͺ

Kama Kuna mtu amewahi kushinda hii vita dhidi ya social anxiety atueleze aliishinda namna gani atasaidia wengi
 
shukran mkuu nitalifanyia kaz maana huwa najilaumu mfano mwaka jana kunandu gungu anaishi mwanza alinipigia simu akanieleza anashida ya lak 2 na nusu nikashinda kukataa ikanibid nimutumie hela ambayo ni ya mtaji wa biashara yangu mpak ikapelekea kuyumba kwa biashara mpaka leo huwa najilaumu kwa kukosa msimamo
 
Kama Kuna mtu amewahi kushinda hii vita dhidi ya social anxiety atueleze aliishinda namna gani atasaidia wengi
Pole mkuu ungesema kwa mapana
Unapata hofu au woga kwenye nyakati zipi yaani?
 
shukran mkuu umenifumbua!
 
😒😒 aisee pole sana chukua hatua sasa history ya zamani izike
Andika ukurasa mpya kila la heri
 
Pole mkuu ungesema kwa mapana
Unapata hofu au woga kwenye nyakati zipi yaani?
kwenye mazingira au matukio ya userious mathalani kwenye vikao vya ofisini au sehemu yoyote utakayohitajika utoe mawazo yako huku watu wakiwa attention kukusikiliza wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…