Mapigano dhidi yako mwenyewe 💪

Sure hizi emoji zinakufanya mleta mada aonekane ni mtoto to some extent, au ana utoto fulani... Maana kuzitumia katika context ya mada sensitive kama hii inakua kama unachukilia mzaha. Ingekuwa hoja za mapenzi sawa
Ni kweli lakini naona kama ameonyesha kamaindi kiana, nimemsifia kwa uzuri tu lakini kaishia kuniambia ''Binadamu '' na asante. Sasa unakuwaje bora pasipo kusahihishwa ?
 
Asante sana mkuu
Na hongera mnoo kuponya watu

Yes urembo sio muhimu ukiwa na uwezo mzuri wakufikiri kama hivi unakuwa umesha kamilika.
Hapa ni kama unanichokoza niseme kitu ila naruka hiki kihunzi

Una jua sana kumpeleleza mtu mkuu👏🤣 anyway karibu sana kwenye mijadala zaidi
 
Asante sana mkuu
Na hongera mnoo kuponya watu

Hapa ni kama unanichokoza niseme kitu ila naruka hiki kihunzi

Una jua sana kumpeleleza mtu mkuu👏🤣 anyway karibu sana kwenye mijadala zaidi
😀 ahsantee sana Mkuu.
 
Unajua Unachekesha sana rafiki
Ni wapi nimesema unabishana? 😂
Itakua una chuki binafsi sio bure. Daah aisee
 
Ni kweli lakini naona kama ameonyesha kamaindi kiana, nimemsifia kwa uzuri tu lakini kaishia kuniambia ''Binadamu '' na asante. Sasa unakuwaje bora pasipo kusahihishwa ?
Sure thing
 
Utatumia njia gani heb share
moja ya tabia ambayo huwa natamani kuishinda ni siwezi kusema hapana yaan mutu wakalibu akiniambia jambo hata kama sina uwezo nalo nakubal then baady nabak kujutia uamzi wangu mwenyew
 
Fact
 
moja ya tabia ambayo huwa natamani kuishinda ni siwezi kusema hapana yaan mutu wakalibu akiniambia jambo hata kama sina uwezo nalo nakubal then baady nabak kujutia uamzi wangu mwenyew
Anza kujifunza now kusema hapana bila kumuumiza mtu,kuna lugha unaweza kutumia ambazo zinamaanisha hapana lakini zinapunguza uzito wa hiyo hapana

Mathalani,kuna michango ya harusi ambayo unatakiwa uchangie na hela huna,badala ya kusema sitaweza kuchangia,waeza sema Kwasasa nipo vibaya lakini ngoja nipambane nione nitafikia wapi? kwahiyo kwanza umeshamueleza mhusika kwamba huna hela ila utajitahidi kutafuta ikishindikana basi, so kwa kila situation utajua namna ya kuweka hapana ambayo inaning'inia
 
moja ya tabia ambayo huwa natamani kuishinda ni siwezi kusema hapana yaan mutu wakalibu akiniambia jambo hata kama sina uwezo nalo nakubal then baady nabak kujutia uamzi wangu mwenyew
Ni kwasababu unahofia atakuona je baada ya kumwambia kua huwezi hilo jambo lake

Lakini ukweli ni kwamba kusema hapana ni bora zaidi kuliko kutoa matumaini fake

Akikujia mtu anahitaji umsaidie jambo fulani ni kwasababu amekuamini na anadhani atasaidika

Lakini hiyo haina maana lazima umsaidie kwa namna anayotaka hapana badala yake unaweza kumpa mawazo au njia ya kutatua hata kama wewe umeshindwa kumsaidia lakini huo ni msaada tosha

CC: Marcostilone
 
Exactly mkuu umesema vyema
 
Kisaikolojia hii hali inaitwa cognitive dissonance, yaani mkinzano unaotokea kwenye akili yako pale unapokuwa na imani mbili zinazopingana au unachokipenda au kukiamini kinaposhindwa kuendana na tabia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…