Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Kumbe huyu Kijana ni bure kabisa, mimi sikujua, yaani na yeye amepewa hela na kukubali kutumiwa?,
Mbona nyie mlipewa hela na Lowassa na mkamsafisha na kumuuzia saccos yenu?
Kumbe huyu Kijana ni bure kabisa, mimi sikujua, yaani na yeye amepewa hela na kukubali kutumiwa?,
Wewe ndo huelewi, dhambi ya kumleta Lowasa UKAWA ndo itawasambaratisha wote. Jitahidi kujua kiini cha tatizo, katiba ya cuf inasemaje juu ya mwenyekiti, Katibu Mkuu na viongozi wengine, siyo unakimbilia ku comentHana akili huyu,anampigania Lipumba alieondoka CAF kwa akili zake timamu,watu wengine bure kabisa
Hujaelewa ..... Anazungumzia Maalim kuwa kibaraka wa Lowassa & co.Maelezo yake yamenikanganya kidogo. Kwanza anakiri kwamba Baraza Kuu la CUF linayo hayo mamlaka ya kuwatimua chamani, lakini mwisho anadai "hatoki mtu CUF" halafu anakoleza kibwagizo chake kwa kuandika "Sasa ni hoja za mkabwela, dhidi ya vibaraka wa mabepari wa Tanganyika".
Tuliambiwa kwamba tatizo ni CUF Zanzibar kutowasikiliza wenzao wa Tanganyika, kuwaita watanganyika wenzako ni vibaraka wa mabepari wa Tanganyika, unaleta utata. Maana kama ungeandika ni vibaraka wa mabepari wa Zanzibar ingekuwa na maana, ama tuambiwe kwamba hata wao wa Tanganyika wamegawanyika kati ya hao "Makabwela" na "Vibaraka wa mabepari".Chama ambacho enzi za Lipumba kilikuwa kinahubiri sera za utajirisho kinakuwaje tena na chuki na Mabepari?
we ni cdm ya cuf yanakuusu nnKumbe huyu Kijana ni bure kabisa, mimi sikujua, yaani na yeye amepewa hela na kukubali kutumiwa?,
sweetie wangu CUF BEIBEE NOT CAFHana akili huyu,anampigania Lipumba alieondoka CAF kwa akili zake timamu,watu wengine bure kabisa
UKAWA unatumika hapo mkuuwe ni cdm ya cuf yanakuusu nn
Maalim awe kibaraka kwa kukataa kibaraka kuwa kiongozi wa chama alichokipigania wakati mwingine hata kuhatarisha maisha yake. Halafu huu ujinga wa kumkuza sana Lowassa hadi kufikia hadhi ya uungu mtu inawapa faida gani? Kila jambo ni Lowassa kafanya, mbona mnamuabudu sana nyie?Hujaelewa ..... Anazungumzia Maalim kuwa kibaraka wa Lowassa & co.
Yule Mtenda Miujiza?Aliyemtendea Magufuli Mmoja?Jadilini ya yule aliyezamia kwenye sherehe
Lowasa the Don!Maalim awe kibaraka kwa kukataa kibaraka kuwa kiongozi wa chama alichokipigania wakati mwingine hata kuhatarisha maisha yake. Halafu huu ujinga wa kumkuza sana Lowassa hadi kufikia hadhi ya uungu mtu inawapa faida gani? Kila jambo ni Lowassa kafanya, mbona mnamuabudu sana nyie?
Demokrasia thabiti ni lazima ipiganiwe kwenye vyama vya siasa......Tatizo watu wanaingia kwenye vyama hivi vya siasa bila ya kuangalia Katiba za vyama hivyo zinasemaje. Kwanza kwenye CUF Zanzibar ina uwakilishi sawa kwenye vikao na Tanganyika, kwa ivo si rahisi kukwamisha mambo yao kama wanayataka kwani siku zote Akidi itatimia tu. Halafu wajumbe wengi wa Tanganyika ni wa kuokkoteza mitaani wengi wao hawatoke kwenye hiyo mikoa wala Wilaya wanazodai wanaziwakilisha.
FafanuaTwende mbele,turudi nyuma lakini chanzo cha yooooote haya ni lile tendo MASHUHURI la KUBADILI GEAR ANGANI.
Watu wameshasahau walikojikwaa wamebaki kulaumu walikoangukia.
Watu wakitaka kuandamana mnawaambia wafuate sheria, hawa waliojiuzulu wenyewe mnataka kuwarudhisha kienyeji kama mlivyowatoa kienyeji, HAIWEZEKANI. Waingereza wana msemo wao kuwa, huwezi kuila keki yako na ukaendelea kuwa nayo "You can't eat your cake and have it"Demokrasia thabiti ni lazima ipiganiwe kwenye vyama vya siasa......
Weka nyama ili jamii ikueleweTwende mbele,turudi nyuma lakini chanzo cha yooooote haya ni lile tendo MASHUHURI la KUBADILI GEAR ANGANI.
Watu wameshasahau walikojikwaa wamebaki kulaumu walikoangukia.
kweli kabisa ndani ya CUF kuna uzanzibar watu wa bara wanaonekana kama vinyago. Lakini Sharifu Hamadi anapaswa kujua huu ni mwisho wa CUF na mwisho wake pia kisiasa na hata CHADEMA pamoja na kumtumia Mtatiro lakini lakini wajue kuwa kuiua CUF ni kuinyanyua ACT wazalendo kwa kuwa wanachama na wapenzi wa CUF wengi wataelekea huko.Huyu dogo analeta ubaguzi wa uzanzibari na Utanganyika