Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

Jirani zetu DRC.
DRC.jpg


150330142306_drc_mafuriko_yaleta_hasara_kubwa_kivu_304x171_bbc_nocredit.jpg
View attachment 578259


151208101722_floods_dr_congo_640x360_bbc_nocredit.jpg
Dar mafuriko ya africa na us tofauti kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wenzetu wao wakimbia kusave maisha yao na mbwa wao.Kitu inaitwa insurance ni nzuri sana
Nimekuelewa, kwa hiyo sisi tunaanza kubeba vyombo kwanza eeh?
 
Jamaa kaamua kuokoa mbwa na kuacha familia ikiangamia.
Mtambuzi hivi haya mapenzi ya kuwapenda wanyama zaidi kuliko kuwapenda binadamu wenzako, nini chanzo na sababu yake?
upload_2017-8-30_14-31-10-png.578133
Umejuaje kama kawaacha familia wakiangamia??je kama kaanzia kuokoa familia??lkn mkuu hata mbwa ana roho kama binadamu pia na part ya familia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Us us tu ingekuwa hapa bongo balaa lake,raisi wao kusikia tu huyo kaenda kuwaona,,sisi wa kwetu ana roho mbaya
 
Uzuri wao wanajua na kuogelea ndio maana hata hawaogopi maji,vifaa vipo yaan huko ndio duniani jamani
 
Ndo viongozi watanzania wajue.mafuriko hayana dawa.hata marekani penye maendeleo ya miundo mbinu mafuriko yanatokea.

Mi naona cha msingi pale jangwani wauziwe matajiri wajenge maghorofa na maduka.wale wakazi wa pale wafidiwe.naamini matajiri wataujenga ule mji kisasa.na kuweka miundo mbinu ya ukweli.mafuriko itakuwa ni historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa umeongea point mkuu, ila kumbuka mtukufu hapendi matajiri anataka waishi kama mashetani
 
Back
Top Bottom