Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

nyumbani kwa Marais wastaafu wa Marekani George Bush Sr na George Bush Jr.

Poleni wahanga wote.
 
Jamaa kaamua kuokoa mbwa na kuacha familia ikiangamia.
Mtambuzi hivi haya mapenzi ya kuwapenda wanyama zaidi kuliko kuwapenda binadamu wenzako, nini chanzo na sababu yake?
upload_2017-8-30_14-31-10-png.578133
Kweli sizonje hapaswi kulaumiwa kwa maamuzi yake ya kukurupuka kama na wewe unaweza kukurupuka hivi, kwani wewe umejuaje kama ana familia ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaona mbwa ndio wa maana wakati mbwa anajua kuogelea.....yule mama nimempenda sana

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Mbwa wa ulaya hawajui kuogelea..??!! Maana kibongo bongo kwa sisi tulio funga mbwa tunajua jinsi wanavyo jua kukata maji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaamua kuokoa mbwa na kuacha familia ikiangamia.
Mtambuzi hivi haya mapenzi ya kuwapenda wanyama zaidi kuliko kuwapenda binadamu wenzako, nini chanzo na sababu yake?
upload_2017-8-30_14-31-10-png.578133
Wengi tu wameokoa mbwa yupo mwanamke na kuna moja jamaa anaogelea halafu pembeni mtumbwi umebeba mbwa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Ingetokea bongo ungeambiwa wanaoishi mabondeni wahame.na nyumba zibomolewe.
Ila huko sijaona nyumba kubomolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbunga hiki si sawa na mafuriko ya bongo. Wenzetu wamejenga katika maeneo sahihi, lakini nguvu ya kimbunga huleta athari mahali popote. Tuache kushabikia bila uelewa. Umejenga bondeni tena kusikopimwa na kuruhusiwa kwa makazi bado mkipata matatizo eti serikali haiwajali.
Tufikiri kwa ubongo siyo kwa nyayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom